Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mimi juzi nimemtoa bikira mtoto mwenye miaka 18 na nikamwambia kuwa aende zake,sasa nitakujaje kukataa kuoa mke ambae hana bikira?!Huu si utakuwa ni upunguani?

Ninyi ndio mnaharibu watoto wa watu kwa upumbavu wenu na ushenzi wenu.
Alafu wakija kukataliwa kuolewa mnaona waoaji punguani.

Wewe ndio uoe walioharibiwa kwa sababu ulishiriki kuwaharibu, na sio kutupa uchafu wenu kwa wanaume wanaojielewa.

Tunaharibu vilivyoharibiwa
Tunathamini visivyo haribiwa
Tunachafua vilivyochafuliwa
Tunabihifadhi vilivyo safi
 
Hata kudanganya akashindwa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Ananijua kaka yake nilivyo Mtata, mbona huko ukweni ningeenda wangenitambua, zaidi ya yote ingekuwa aibu kwa ukoo wake, kwani najijua nilivyo
Una maanisha ungemkagua huyo mwanamke kama ni bikra au sio
Itoshe kusema wewe Joka jeusi ni mgonjwa
 
1.Wewe kukataa kupeleka mahari kutachochea kwa kiwango kikubwa huyo binti kutokuolewa na ndiyo maana mdogo wako tayari ameshaomba msamaha na kusema kuwa hakuwa sahihi,maana yake anaweza asimuoe tena huyo binti na chanzo utakuwa ni wewe.Yaani kwa lugha rahisi umezuia ndoa kati ya mdogo wako na huyo binti.

2.Siku ukikutana na bikira utakataa kubikiri?

3.Si sahihi kwa mtoto wa kiume kujitunza hadi ndoa?
 

Kwetu Bikra ni kigezo nyeti sana Mkuu.

Mkuu hata ingekuwa ni siku ya harusi yake, kama ingebainika binti sio bikra hiyo ndoa ingevurugwa muda huo huo, sio mimi, Mzee au bi. Mkubwa.

Yaani na akili zangu, ninasherekea mdogo wangu akioa mwanamke asiye na bikra, tena nimevaa suti πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ labda niwe nimelogwa.
Au mchungaji ati anashika biblia kufungisha uchafu, labda sio mimi
 
Jah ni mwema wakati wote, kamuepusha binti wa watu kuingia kwenye ukoo mbaya, uliojaa figisu, kejeri, na dharau.
Ukoo una uswahili tangu wazaz had watoto, afu wake kwa waume Lol.
So sad

Jah aliyemtoa hiyo bikra ndio mwema kwake na kwa wafuasi wa ukahaba.
Hatuwezi oa uchafu.
Hatuwezi abudu Jah wa namna hiyo.
Aende kwa Jah wake huyo aliyemtoa bikra
 
Mkuu katika harakati zako za uchafuzi siku ukikutana na bikira utakataa kubikiri na kukimbia lodge?
 

Mkuu nimeshakuwa na wanawake bikra zaidi ya wanne.
Wote nimekataa kuzitoa isipokuwa mmoja niliyemuoa.

Kuna mmoja yupo NIT ni kazuri lakini nilikaambia siwezi kuitoa bikra nikiwa najua siwezi kumuoa, nimemwambia atafute wa kuiharibu ili mimi nije kuharibu vilivyoharibiwa.

Dogo kama anataka akaoe lakini sitampa sapoti kwa namna yoyote ile.
 
Hopefully huyo hakua mke wa dogo, bali dogo alitaka kuoa mke wa familia...πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bikra ya mke wa mdogo wako inakusadia nini katika maisha yako ya kila siku?
 
Mkuu katika harakati zako za uchafuzi siku ukikutana na bikira utakataa kubikiri na kukimbia lodge?

Mkuu mimi nakiri nimekuwa mchafuzi, lakini nina miiko. Sipendi laana za kipuuzi.

Mwanamke mwenye bikra najua anauwezo wa kunilaani na laana ikashika ikiwa nimemuharibu ndio maana sijawahi na sitawahi kuthubutu kuchezea miili na mioyo ya wanawake walio na bikra.

Lakini hawa malaya chaaah! Hawa nawafuruga kwa sababu walishavurugwa, najua hawa hata watoe laana ya namna gani kamwe haiwezi kunipata.
Ndio hawa wanasema sijui mungu wao kawaepusha, nawaambia ndio huyo huyo aliyewatoa bikra ndio mungu aliyewaepusha na familia yetu
 
Hopefully huyo hakua mke wa dogo, bali dogo alitaka kuoa mke wa familia...πŸ˜‚πŸ˜‚

Hakuna aliyemzuia, mbona kaka na Baba mdogo wamemruhusu.

Vyovyote itakavyosemwa lakini sitamshauri aoe mwanamke asiye na bikra, akitaka akaoe bila kuomba ushauri wala sisi kushiriki kwa lolote.
 
Mkuu unafanya mzaha na mimi kitu ambacho siyo sahihi!Yaani umekutana na mtoto mkali ile mbaya ukampiga sound na akakubali fresh kisha ukapiga zako safari kadhaa plus mbege kisha ukatinga zako lodge ya maana na ghafla ukakuta mtoto ni bikira!Unataka kunidanganya bila haya ya kwamba utamwambia avae na aondoke zake?!
 

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Single Mother ni moja ya takataka kuu zinazoharibu hali ya hewa. Single mother halafu ulishe shahawa za mtu na kusomesha. Nakuunga mkonyoo kwa uimara wako.
 
Duu! Hatari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…