Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hongereni kwa hilo, na nyie tunzeni hizo bikra zenu hadi kuoana. Sio kutafta bikra kwa mwanamke, ili hali nyie kuloweka mnaloweka, huo ni unafiki.

Huna haja ya kutupa hongera, hiyo ni miiko yetu. Hata ninyi mna miiko yenu. Hata siku akija ndugu yangu kuoa kwenu mkimnyima mke kwa kukosa vigezo muhimu hatutawalaumu.

ila kwetu kama huna Bikra, huna sifa ya kuwa mke,
Mimi naharibu vilivyoharibiwa, yaani kama wewe sio bikra sioni shida kukugonga na kukutelekeza huko,

Pona pona yako uwe umeolewa. Binafsi siwezi kutoka na mke wa mtu
 

Kwamba mimi sijaoa?

Mke wangu kanyimwa likizo, ameajiriwa serkalini. Mimi sio muajiriwa. Nimemuacha Daslam
 
Kwahiyo miiko yenu n kuoa bikra, ila uzinzi full kujiachia.
Aaaah kumbeeh bas sawaah.
 
Hizi sio sababu za yeye kuondoa vigezo na sifa za mke amtakae

Bikra hata kidini ni sababu kubwa sana.

Hata Mungu anaitambua,, sasa wewe kama huoni ni sababu kuu si utakuwa umechanganyikiwa.
 
Kwahiyo miiko yenu n kuoa bikra, ila uzinzi full kujiachia.
Aaaah kumbeeh bas sawaah.

Hatuharibu vitu visafi(Bikra)
Tunaharibu vilivyoharibiwa.

Wanawake wote wakiwa bikra au wameolewa basi ni wazi hakuna uzinzi na mimi nitakuwa sina ujanja tena.
Lakini ikiwa mwanamke hana bikra na hajaolewa binafsi namchukulia kama malaya na chombo cha starehe
 
Mkuu bikra anakuaje single mother
New system in town[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi sio sababu za yeye kuondoa vigezo na sifa za mke amtakae
Luka 6:41-45

Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii? Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako.
 
Single Mother ni moja ya takataka kuu zinazoharibu hali ya hewa. Single mother halafu ulishe shahawa za mtu na kusomesha. Nakuunga mkonyoo kwa uimara wako.
Aiseeee😳🤦🏽‍♂️
 
Hizi sio sababu za yeye kuondoa vigezo na sifa za mke amtakae

Kumbukumbu la Torati 22:

20 Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira; 21 na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na wanaume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
 
Mipasho haisaidii hasa ukiwa mwanaume[emoji3]
 
Broo mm nakuelewa Sana ila sijawah kukutana na mwanamke.ila siku nikimpata inshallah nitampenda Sana na anaweza kuwa wife

Bado natafuta bikra[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Broo mm nakuelewa Sana ila sijawah kukutana na mwanamke.ila siku nikimpata inshallah nitampenda Sana na anaweza kuwa wife

Bado natafuta bikra[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Zingatia kanuni hizi

Usizini
Na kama ukizini usizini na mwanamke bikra ambaye hutaki kumuoa
Pia usizini na mke wa mtu

Usiibe wala kudhulumu
Na kama ukiiba au kudhulumu usimuibie wala usimmdhulumu mjane au Yatima.

Usiue
na kama ukiua usiue damu ya asiye na hatia
 
Aiseeee[emoji15][emoji2363]
Ndio hivyo mkuu. Hakuna namna unawezaje kukaa na mtoto wa mwanaume mwenzio anakata mitaa tu huku ww unamenyeka kulisha mtoto wake. Kuna dada mmoja nilitokea akaniambia yupo na watoto wawili nimsomeshee aisee nimemkimbia. Bora kuoa single mother ambaye amefiwa na mume wake sio hawa wengine.
 
Nikweli.umemshauri viZuri atafute Bikra..lakini unaweza ukadhani unamsaidia kumbe unamaliza.

Wakati anatafuta huyo bikra ataendelea kufanya Uzinifu...Je si kheri angeoa tu huyo atulizane...

Je akipata MARADHI.....Na Je unamsaidia kumtafuta huyo unaedhani anafaaa?
Akichelewa kupata mwenza je...

Jamani Msilazimishe Watu wote waishi Kama Wewe...Wewe kupata bikra na tajiri ukawa na furaha..haina Maana huyo mdogo wako akipita njia Kama yako atapata pia FURAHA..

WAACHENI WAOE WANAO WATAKA...kuchelewesha Mambo ya kheri SIO SAWA.
 
Sema tunatofautiana kimtazamo

Kama na yeye anao uhakika ajawahi lala na msichana yoyote yule bhasi ni sawa kulilia Bikra

Ila kama alishafanya uhuni huko nyuma, inakua haileti maana
Mchi huwa hakichakai ila kinu kinachakaa mpka kuvunjika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…