Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,897
- 7,074
Nikusahihishe, Miaka 18 sio mtotoMimi juzi nimemtoa bikira mtoto mwenye miaka 18 na nikamwambia kuwa aende zake,sasa nitakujaje kukataa kuoa mke ambae hana bikira?!Huu si utakuwa ni upunguani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikusahihishe, Miaka 18 sio mtotoMimi juzi nimemtoa bikira mtoto mwenye miaka 18 na nikamwambia kuwa aende zake,sasa nitakujaje kukataa kuoa mke ambae hana bikira?!Huu si utakuwa ni upunguani?
Hongereni kwa hilo, na nyie tunzeni hizo bikra zenu hadi kuoana. Sio kutafta bikra kwa mwanamke, ili hali nyie kuloweka mnaloweka, huo ni unafiki.
Nimekusoma vyema mkuuMimi juzi nimemtoa bikira mtoto mwenye miaka 18 na nikamwambia kuwa aende zake,sasa nitakujaje kukataa kuoa mke ambae hana bikira?!Huu si utakuwa ni upunguani?
Kikao cha familia kilikuwa na watu KUMI wakiwemo WATOTO WADOGO wawili, katika hao sijaona MKEO akitajwa hivyo ni wazi wewe bado MVULANA... mdogo wako kakomaa kiakili umemzidi umri tu.
Kaa kwa kutulia acha wivu na hayo mawazo tamanifu ya kusadikika, endelea kukenua na kufurahia SODA kreti za kununuliwa na BABA yako!
Kwahiyo miiko yenu n kuoa bikra, ila uzinzi full kujiachia.Huna haja ya kutupa hongera, hiyo ni miiko yetu. Hata ninyi mna miiko yenu. Hata siku akija ndugu yangu kuoa kwenu mkimnyima mke kwa kukosa vigezo muhimu hatutawalaumu.
ila kwetu kama huna Bikra, huna sifa ya kuwa mke,
Mimi naharibu vilivyoharibiwa, yaani kama wewe sio bikra sioni shida kukugonga na kukutelekeza huko,
Pona pona yako uwe umeolewa. Binafsi siwezi kutoka na mke wa mtu
Kwahiyo miiko yenu n kuoa bikra, ila uzinzi full kujiachia.
Aaaah kumbeeh bas sawaah.
New system in town[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu bikra anakuaje single mother
Luka 6:41-45Hizi sio sababu za yeye kuondoa vigezo na sifa za mke amtakae
Aiseeee😳🤦🏽♂️Single Mother ni moja ya takataka kuu zinazoharibu hali ya hewa. Single mother halafu ulishe shahawa za mtu na kusomesha. Nakuunga mkonyoo kwa uimara wako.
Hizi sio sababu za yeye kuondoa vigezo na sifa za mke amtakae
Mipasho haisaidii hasa ukiwa mwanaume[emoji3]Kikao cha familia kilikuwa na watu KUMI wakiwemo WATOTO WADOGO wawili, katika hao sijaona MKEO akitajwa hivyo ni wazi wewe bado MVULANA... mdogo wako kakomaa kiakili umemzidi umri tu.
Kaa kwa kutulia acha wivu na hayo mawazo tamanifu ya kusadikika, endelea kukenua na kufurahia SODA kreti za kununuliwa na BABA yako!
Mipasho haisaidii hasa ukiwa mwanaume[emoji3]
NdioNa wewe unafurahia SODA za kununuliwa na BABA?
Broo mm nakuelewa Sana ila sijawah kukutana na mwanamke.ila siku nikimpata inshallah nitampenda Sana na anaweza kuwa wife
Bado natafuta bikra[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio hivyo mkuu. Hakuna namna unawezaje kukaa na mtoto wa mwanaume mwenzio anakata mitaa tu huku ww unamenyeka kulisha mtoto wake. Kuna dada mmoja nilitokea akaniambia yupo na watoto wawili nimsomeshee aisee nimemkimbia. Bora kuoa single mother ambaye amefiwa na mume wake sio hawa wengine.Aiseeee[emoji15][emoji2363]
Mchi huwa hakichakai ila kinu kinachakaa mpka kuvunjikaSema tunatofautiana kimtazamo
Kama na yeye anao uhakika ajawahi lala na msichana yoyote yule bhasi ni sawa kulilia Bikra
Ila kama alishafanya uhuni huko nyuma, inakua haileti maana