Sikuwepo lakini yeye mthibitishaji alikuwepo
Kama mimi nitakavyo waambia watoto wangu wasioe malaya wasio na bikra kwani nimeoa mama yao akiwa bikra kabisa.
Ushauri huu kila mara nawashauri na vijana wengine hata mshikaji wako akija nitamuambia asikuoe wewe kama hakukuta yaliyomo hayakuwamo, hakukuta bikra
Bado hujaelewa definition ya mapenzi Chief.tuendelee kula πΏ tuImeisha hiyo, wewe jikeshe hapo
Wewe ndio huna akili, na pengine bikra zote zimeondoka hata ya ubongo.
Ushaambiwa mwanamke bikra ni yule ambaye hajakutana kimwili na mwanaume au hajafanya ngono hata sex machine. Unataka prove ipi nyingine?
Hujui maana ya bikra?
mwanamke huchepuka kwa sababu zifuatazo:
1.yupo nawe kwenye mahusiano/ndoa bt hakupendi
2.humridhishi na suluhu ya jambo hili imekosekana kwako
3.tamaa ya pesa/vitu
nb: hizi sababu hazijalishi bikra au ametumika.
Wake Wanaoitwa wana hofu ya Mungu,sio kuwa wana hofu ya Mungu bali hofu ya kukamatwa ukawa msala.Mke atakuwaje na hofu ya Mungu kama hana Bikra? embu waeleze wanajukwaa hapa
Kwa nini nithibitishe jambo lilothibitshwa?
Wewe umechanganyikiwaa
Umeelewa swali?
Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake
Weka research kuthibitisha madai yako
Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako
Usiwe mjinga.......
Tunataka kujifunza facts tuelimike
Kwa nini nithibitishe jambo lilothibitshwa?
Wewe umechanganyikiwaa
Wanajamvi wanaona athari za kutolewa bikra mapema kupitia wewe, nashukuru sana kwani wewe utakuwa case study humu.
Wewe unadhani kila jambo ni la kufanyia utafiti? Kama ndio akili yako basi umevurugwa.
Na hii ndio athari ya kutolewaa bikra mapema
Wewe mjinga be specific kwa ulichoulizwa
Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake
Weka research kuthibitisha madai yako
Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako
Usiwe mjinga.......
Tunataka kujifunza facts tuelimike
Wewe mjinga be specific kwa ulichoulizwa
Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake
Weka research kuthibitisha madai yako
Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako
Usiwe mjinga.......
Tunataka kujifunza facts tuelimike
Ndio, kwa sababu anaakili, hakuoa mwanamke asiye na bikra