Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Sio lazima kila mtu afikiri na kuamini kama unavyofikiri wewe! Pia sio wanawake wote wana tabia zinazofanana, unajidanganya sana kujiona ni mjuaji wa kila kitu kuna mambo mengine kama haya ya wanawake mabikira sio lazima uowe bikira ndio ujue tabia zao maana hata mitaani tunaishi na watu waliooa mabikira na tumeziona tabia zao!
Kwanza nina uhakika hata huyo uliyeoa kama ana tabia nzuriwala sio bikira ila tu alilelewa vizuri! Wanaume wa aina yako ambao wanahusudu mambo madogo kama hayo ndo huwa mazwazwa kwenye ndoa zao unakuta hadi anapika na kufua nguo za mkewe kisa ni bikira au ni mrembo! Alafu hapohapo eti bado unajiona wewe sio lofa!
 

Wewe kweli umevurugwa, uliposema bikra ni jambo dogo ndio nikakudharau hapo hapo.
 
Unawatongoza ila hulali nao..... au kuna research unaandika. Naona kama upo kwenye hatari.

Mkuu wapo wanaonijua humu, msimamo wangu sio wa nchi hii.

Yaani nilale na mke wa mtu wakati kuna malaya kibao wanauza na hawajaolewa.
Wanachohitaji ni pesa, kodi na kisimu cha Iphone 11.

Siwezi lala na mke wa mtu wakati wapo walioamua kuuza utu wao kwa Iphone 6
 
Oh sio paka mweusi?
 
Kwa hiyo mkuu una shauri kabla ya kuoa uonje kwanza uone kama ana bikra au la??
 
Wewe kweli umevurugwa, uliposema bikra ni jambo dogo ndio nikakudharau hapo hapo.
Kwanini lisiwe dogo wakati unaitoboa mara moja tu inaondoka! Kwani huwa inakuwepo maishani yote?? Hapo umejidharau mwenyewe tuliowahi kutoboa wanawake mabikira tunafahamu ni show moja tu panabaki empty!
 
Kwanini lisiwe dogo wakati unaitoboa mara moja tu inaondoka! Kwani huwa inakuwepo maishani yote?? Hapo umejidharau mwenyewe tuliowahi kutoboa wanawake mabikira tunafahamu ni show moja tu panabaki empty!

Wewe ndio hujui thamani ya bikra na ndio maana umeharibu watoto wa watu, nafikiri hukujua ulichokifanya kwa upumbavu wako.

Jambo la mara moja ndio huleta athari maishani.
Kama lingekuwa jambo la kawaida basi ungekuwa ukifanya linarudi kama vile unavyokata kucha au nywele, lakini kwa ujuha wako hujui kwa nini ikitoka imetoka.

Ni sawa na mtu aliyetoa jicho la mtu alafu akasema ni kawaida kwa sababu jicho hilo halijarudi, wewe ni mwehu
 
Kwa hiyo mkuu una shauri kabla ya kuoa uonje kwanza uone kama ana bikra au la??

Kwanza mpende naye akupende, pili twende kwenye kuthibitisha kama yaliyomo yamo,

Sio unathibitisha mtoto wa watu wakati unajua kabisa humpendi na hautamuoa.

Kibiblia huwezi oa kabla hujaonja, unaonja siku ya harusi kabla ya ndoa kucheki yaliyomo yamo, kama yamo mnaendelea kama hayamo unaruhusiwa kurudishiwa mahari na kumuacha huyo kahaba
 
Wewe lazima utakufa masikini ! Unahangaikaje na thamani ya kiungo kilicho kwa binadamu mwingine? Kama unaona bikira zina thamani sana nunua uweke kwako!
 
Hiyo ni akili kubwa, ila sasa kwann unawatongoza? Ukikamatwa utaeleweka kweli? Ni sawa na muislamu kila siku awe anaenda dukani kununua dawa ya kutibu nguruwe na chakula cha nguruwe ila hana hao nguruwe, wenzake watamuelewa kweli?
 
Wewe lazima utakufa masikini ! Unahangaikaje na thamani ya kiungo kilicho kwa binadamu mwingine? Kama unaona bikira zina thamani sana nunua uweke kwako!

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Mimi sina damu ya masikini wapumbavu, masikini huwa nawafananisha na Nyani kila siku nasema humu.

Siwezi kuwa masikini kwa sababu damu yangu sio ya umasikini, mimi sio masikini, nina kazi nzuri, mke wangu sio masikini, Mtoto wangu hasomi vishule vya masikini. Huo umasikini nitakuwa nao labda huku JF kwenye vikoment vya watu fukara kama wewe mpuuzi.

Huku JF nilishasemaga miaka 7 iliyopita, siwezi oa mwanamke asiye na bikra, Siwezi oa mwanamke fukara.
Nisije haribu kizazi changu
 
Hiyo ni akili kubwa, ila sasa kwann unawatongoza? Ukikamatwa utaeleweka kweli? Ni sawa na muislamu kila siku awe anaenda dukani kununua dawa ya kutibu nguruwe na chakula cha nguruwe ila hana hao nguruwe, wenzake watamuelewa kweli?

Nilikuwa natongoza kufanya tafiti zangu, usione humu nakazania suala la bikra naelewa ninachokisema.
Watu humu waache wabishe na siwalaumu kwa sababu sio kila mtu anaelewa kwa kuambiwa maneno tuu wengine lazima wajifunze kwa njia ngumu
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sio kila jambo linahitaji research wewe, mbona unaakili za kuku

Hii mada imewapiga wengi lakini wewe ndio umeamua uwe case study humu, na watu wanathibitisha nikisemacho

Nilitaka kuku prove wrong

Nimethibitisha wewe ni kilaza tu, huna idea yoyote ila mlopokaji tu

Kushindwa kutoa majibu sahihi kwa evidence na specific reference

1. Umeshindwa kuthibitisha baba yako alioa bikra, hukuwepo kuthibitisha alivoitoa. Unaongea ujingaujinga tu utadhania mama yako mkeo. Ulitaka akuambie mama yako malaya? Hakuwa na bikra? Is it possible? Mjinga wewe

2. Umeshindwa kujibu πŸ‘‡

Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake

Weka research kuthibitisha madai yako

Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako

Usiwe mjinga.......

Tunataka kujifunza facts tuelimike


3. Nataka nikuthibitshie kutoka maandiko

A. Binadamu hatabiriki hata umpe nini

I. Adamu na Eva walipewa kila kitu bado walimuasi mungu

II. Mfalme Daudi alipewa mamlaka yote, bado akamtamani mke wa askari wake kazini

III. Mwenzako Bashite, alipendwa, japo hakuwa na vyeti alipewa makubwa.... hakuridhika

Mwanamke kama ilivo kwa mwanaume

Utulivu, busara, adabu na hekima ni

1. Taabia za mtu binafsi wala sio mfanano

2. Hulka ya mtu binafsi

3. Hisia za mtu binafsi

4. Tamaaa

Mpe chochote, kama silka na hulka yake niuzinifu atafanya tu. Awe bikra, uoe nini sijuwi . Hivyo hivyo kwa wanaume malaya hata mke akufanyie utatoka kwenda kwa malaya wenzako.

Binadamu kaumbwa na utashi na akili

Hivyo kujipa moyo hukatazwi lakini binadamu yeyote huongozwa na uumbaji wa kibaolojia unaotawala hulka na hisia zake katika maisha yake ya kila siku mpaka kifo.

Nakutakia ubishani mwema usio na hoja wala majibu stahiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…