Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra


Wewe ndio huna ujuacho.

Unafikiri kwa nini Makuhani waliambiwa waoe wanawake bikra? Maana unaingiza Mambo ya Biblia ambayo huyajui.

Unajua mwanamke asiye na bikra kibiblia unaweza kumpa talaka?

Kwa ufupi wewe huwezi nifundishe lolote kwa sababu siwezi kufundishwa na mwanamke aliyetolewa bikra zote mpaka za ubongo
 
Kama waolewaji ni wenye bikra tu..acha nizidi kucheza kwaito kwa wenzangu
Bikra kwishnei, mambo ya kukata utepe yana utamu wake ukute ule ute ute aisehhhhhhh hata ikihonga mali unahonga kiroho safi
 
Mnatukatisha tamaa sisi ambao tunataka kuoa ujue😊😊 unampima tu bae wako kama anayo hiyo bikra au hana, unamwuliza "ww mara yako ya mwisho kudo ilikuwa lini" anakujb mwaka na nusuπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„, unajua tu hapa TAYARIIIIIIII, sasa itakuwajeeee????
Ko, tusioe?
 
Ila nimegundua katika tafiti zangu, wanawake wengi wenye bikra ni wale wanawake wa kawaida sana, pia ambao wengi wao wanapataga fursa ya kuolewa

Au uongo ndugu zangu
 


Siwezi oa wala kuzaa na mwanamke asiye na bikra, siwezi watia watoto wangu unajisi kwa upuuzi.

Soma hii

Mambo ya walawi 21:
13. Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira. 14. Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe 15asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.”

Naoa mke wangu sio Mke wa Jamhuri ya mafisi
Mke ili awe wako lazima umkute na kumtoa bikra wewe mwenyewe
Lakini haya mambo ya Jamhuri ya mafisi nimewaachia fisi wenyewe
 

Kila mtu anamaamuzi yake, ila kama unatafuta mke wako oa mwanamke mwenye bikra, lakini kama unatafuta mke wa jamii oa mke asiye na bikra
 
Mkuu hebu chukua tano [emoji109]
 

Wewe mwenyewe najisi. Hujuwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…