Waliobakwa nao ni wapumbavu?,,hapo kwenye pombe namaanisha kunyweshwa kwa kuchanganyiwa au kwa kutokujua au kuwekea dawa za usingiz kwa namna flan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaa waumeKimoyo moyo umesema huyu mshenzi vipi mbona anataka kutuharibia KATIBA [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bikra ipi tena jamani?[emoji23]
Kubakwa je?Huwezi nyweshwa dawa kama unajielewa.
Zamani watoto walishaambiwa wasiingie nyumba za wanaume, wasiende bar au club, wasiongee na watu wasiowajua, hakuna ukaribu baina ya binti na kijana kama sio ndugu.
Analishwaje hayo madude?
Kuturingishia kuwa umeoa bikra haitoi uhalisia kuwa hata bikra wana tabia zilizojificha ambazo huzijui,kuna sehemu umemkebei Mungu ila omba sanaa tena sanaaa mambo yasijebadilika
Bila Bikra hakuna ndoa kwangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi na bikra mpaka kifo.
Nashukuru vijana wengi sasa wanaanza kunielewa
Unataka ndoa ngapi, umeshaoa basi tulia furahia... ikilia sana hupasuka!
wena huyo jamaa ni pipa na mfunikoHuyo jamaa ngoja aje huko
Ukiisha na watu kama sisi yale yasiyowezekana kwetu yanawezekana
Bro unajua huo urefu ni zaidi ya Peter Crouch?Huyu mke wangu kwa Tanzania hapa wazuri kama yeye hawafiki kumi.
Urefu 6.5fts
Maji ya kunde mpauko
Tako nyama kilo 100
Macho meusi, makubwa kiasi yenye nyusi nyeusi tii
Sauti tamu kama kinubi
Midomo minene kiasi
Chuchu saa sita licha ya kuzaa mtoto
Kiuno 34 nyonga 48
Sasa unaweza kuchora hiyo picha
Kumekucha.
Je hakuna bikra ya kiuchumi?
Dia future husband tafadhali usije ukaifahamu jamiiforum.