PAND PIERI
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 183
- 274
Hata hapo kwenye Tako kg 100,sijui mwili nzima kg ngapiBro unajua huo urefu ni zaidi ya Peter Crouch?
Kama unamjua Peter Crouch lakini maana yawezekana hata mpira haufuatilii.
Sasa kama mkeo ni mrefu kuliko Peter Crouch unataka kusema wewe umemzidi urefu au wewe ni andunje?
Kwa huo urefu ulioandika. Madai yako yote naona yana mashaka.
Sawa bhana yetu macho na masikio yetu.Huu ni mwanzo mkuu
Mkuu bikra ni lazma itoke damu otherwise ni umeliwa.Kwani bikra lazma damu itoke mkuu?
Moja ya furaha ndio huo uaminifu wa mwenzako, na furaha ina zidi pale watu watakavyojua uaminifu wenusiku nikipata UJASIRI wakusimama mbele za kadamnasi na kusifia Uaminifu wa mume Wangu...NTAKUWA NIMEFIKA NEXT LEVEL ya kuamini kiumbe Cha Mungu..
Anaweza KWELI akawa muaminifu ..lakini ukatengeneza mazingira ya kujaribiwa Sana....
Nikweli mkeo muaminifu lakini...hi tangaza tangaza ...Unamtia majaribuni mkeo na ndoa yako..
Kwanini usifurahie TU...ndoa yako ya Amani... brother
Mkuu...Sasa kutangaza uaminifu wa mkeo kwa watu unadhani Ina matokeo chanya?..Moja ya furaha ndio huo uaminifu wa mwenzako, na furaha ina zidi pale watu watakavyojua uaminifu wenu
Acha kujikuta wewe ..huna uwezo wa kumuacha uyo manzi, utakufa..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mkuu...Sasa kutangaza uaminifu wa mkeo kwa watu unadhani Ina matokeo chanya?..
Yaani mimi.mke Wangu mzuri Sana, Doctor, nlimkuta bikra, hawezi kunicheat ananipenda Sanaa.....
Yaaani unavyo waambia watu haya Mambo unataka wakusifie au wamsifie mkeo au watafute mke Kama mkeo...
.Au wawe na mkeo nawao wafaidi unayoyafaidi?
Hakuna kitu kizuri Kama sifa au kusifiwa.Mkuu...Sasa kutangaza uaminifu wa mkeo kwa watu unadhani Ina matokeo chanya?..
Yaani mimi.mke Wangu mzuri Sana, Doctor, nlimkuta bikra, hawezi kunicheat ananipenda Sanaa.....
Yaaani unavyo waambia watu haya Mambo unataka wakusifie au wamsifie mkeo au watafute mke Kama mkeo...
.Au wawe na mkeo nawao wafaidi unayoyafaidi?
Hakuna kitu kizuri Kama sifa au kusifiwa.
Ujue Mungu anauwezo mkubwa Sana tena sana, lakini Kama asingea amua ku create viumbe Nani angejya ukuu na uweza wa Mungu?
Kama huyo mama mkwe alikukenulia meno tu na hakuivunja hiyo ndoa kabla hujamaliza maneno yako ya shombo basi atakuwa ana mdondo.
Nilijipa ban...ila nimerudi..
Mkuu..Mimi nadhani ungezinadi hizi sifa za mkeo huko mTaani kwenu wanapomjua..wakuone KWELI wewe kidume na UNAJUA KUCHAGUA..
Kwamba..Ana trako kilo 100...(Obesity)
Ana chuchu sasita....(Ok)
Ni doctor ( Tena hua Ana night shift)
Anarangi ya majiyakunde...(Sawa)
Alafu...BIKRA YA MKEO sisi wa JF..inatusaidia Nini?
Yaaani kwa mkeo alivyo mzuri..Mimi nadhani uanze kuhadithia sifa zake..Huko mtaani...Tena uzinadi haswa..Hadi kipofu apate picha.
Sis wanaume....tulivyo..ukimkuta mwanamke wako bikra..kama ulimpenda 50%. Bas utampenda 100%Hii jf bana
Kila mwanaume humu kaoa bikra[emoji848]