Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Bro unajua huo urefu ni zaidi ya Peter Crouch?

Kama unamjua Peter Crouch lakini maana yawezekana hata mpira haufuatilii.

Sasa kama mkeo ni mrefu kuliko Peter Crouch unataka kusema wewe umemzidi urefu au wewe ni andunje?

Kwa huo urefu ulioandika. Madai yako yote naona yana mashaka.
Hata hapo kwenye Tako kg 100,sijui mwili nzima kg ngapi
 
siku nikipata UJASIRI wakusimama mbele za kadamnasi na kusifia Uaminifu wa mume Wangu...NTAKUWA NIMEFIKA NEXT LEVEL ya kuamini kiumbe Cha Mungu..

Anaweza KWELI akawa muaminifu ..lakini ukatengeneza mazingira ya kujaribiwa Sana....

Nikweli mkeo muaminifu lakini...hi tangaza tangaza ...Unamtia majaribuni mkeo na ndoa yako..

Kwanini usifurahie TU...ndoa yako ya Amani... brother
 
Moja ya furaha ndio huo uaminifu wa mwenzako, na furaha ina zidi pale watu watakavyojua uaminifu wenu
 
Moja ya furaha ndio huo uaminifu wa mwenzako, na furaha ina zidi pale watu watakavyojua uaminifu wenu
Mkuu...Sasa kutangaza uaminifu wa mkeo kwa watu unadhani Ina matokeo chanya?..

Yaani mimi.mke Wangu mzuri Sana, Doctor, nlimkuta bikra, hawezi kunicheat ananipenda Sanaa.....

Yaaani unavyo waambia watu haya Mambo unataka wakusifie au wamsifie mkeo au watafute mke Kama mkeo...
.Au wawe na mkeo nawao wafaidi unayoyafaidi?
 
Wewe kama huwezi kusifia kizuri acha wengine wenye huo uwezo wasifie.

Huwezi sifia mzoga, ndio maana wengi hawajiamini hata kutembea na wenza wao kwani kwa hakika wengi wameoa wake wa jamhuri ya fisi
 
Mkuu...Sasa kutangaza uaminifu wa mkeo kwa watu unadhani Ina matokeo chanya?..

Yaani mimi.mke Wangu mzuri Sana, Doctor, nlimkuta bikra, hawezi kunicheat ananipenda Sanaa.....

Yaaani unavyo waambia watu haya Mambo unataka wakusifie au wamsifie mkeo au watafute mke Kama mkeo...
.Au wawe na mkeo nawao wafaidi unayoyafaidi?
Hakuna kitu kizuri Kama sifa au kusifiwa.
Ujue Mungu anauwezo mkubwa Sana tena sana, lakini Kama asingea amua ku create viumbe Nani angejua ukuu na uweza wa Mungu?
 
Hakuna kitu kizuri Kama sifa au kusifiwa.
Ujue Mungu anauwezo mkubwa Sana tena sana, lakini Kama asingea amua ku create viumbe Nani angejya ukuu na uweza wa Mungu?

Huyo hataki kitu kizuri kisifiwe kama sio shetani ni nani?

Kwa dunia ya sasa watu kujisifu kwa ubaya hawaoni shida lakini akijitokeza mtu akijisifu kwa wema watu humzuia.

Mimi ninajisifu na kumsifu mke wangu pamoja na Mungu kwa Kunipa mke mzuri tena aliye bikra, kwangu ni jambo jema sana.
Watu kama hao huwa nawaona kama mende wa chooni tuu
 
Kama huyo mama mkwe alikukenulia meno tu na hakuivunja hiyo ndoa kabla hujamaliza maneno yako ya shombo basi atakuwa ana mdondo.

Hana uwezo wa kuvunja ndoa yangu isipokuwa mwanaye, mimi na Mungu, basi.
Naye alijua hivyo, yeye ni Mama mwenye uwezo wa kuvunja ndoa yake na mume wake(Baba Mkwe wangu) hana uwezo
 
Nilijipa ban...ila nimerudi..

Mkuu..Mimi nadhani ungezinadi hizi sifa za mkeo huko mTaani kwenu wanapomjua..wakuone KWELI wewe kidume na UNAJUA KUCHAGUA..

Kwamba..Ana trako kilo 100...(Obesity)
Ana chuchu sasita....(Ok)
Ni doctor ( Tena hua Ana night shift)
Anarangi ya majiyakunde...(Sawa)

Alafu...BIKRA YA MKEO sisi wa JF..inatusaidia Nini?

Yaaani kwa mkeo alivyo mzuri..Mimi nadhani uanze kuhadithia sifa zake..Huko mtaani...Tena uzinadi haswa..Hadi kipofu apate picha.

Kama hujui lengo la nyuzin hizi endelea kusubiri utaelewa tuu, muhimu kama umeolewa hiyo ndio umshukuru Mungu vinginevyo huu ndio mwanzo wa uchungu.

Bikra kama huna nyuzi zangu hazikuhusu, lakini ni kawaida kwa maharage ya mbeya kutaka kila kijiko
 
Hii jf bana

Kila mwanaume humu kaoa bikra[emoji848]
Sis wanaume....tulivyo..ukimkuta mwanamke wako bikra..kama ulimpenda 50%. Bas utampenda 100%

Mimi first lov wangu nilimkuta bikra (off point.mim bikra yangu niliitoaga kwa hausigeli)....well tuendelee...dah nilimpendaga sana yule mtoto..tulidum kwa 3yrs....tho alinisumbuaga sana yule mtoto.....tulikua tuna ki.ss dk 20....mwaka wa kwanza huo chuo..dahhhhh
 
Back
Top Bottom