PAND PIERI
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 183
- 274
Hata hapo kwenye Tako kg 100,sijui mwili nzima kg ngapiBro unajua huo urefu ni zaidi ya Peter Crouch?
Kama unamjua Peter Crouch lakini maana yawezekana hata mpira haufuatilii.
Sasa kama mkeo ni mrefu kuliko Peter Crouch unataka kusema wewe umemzidi urefu au wewe ni andunje?
Kwa huo urefu ulioandika. Madai yako yote naona yana mashaka.