Usibalidi masharti, unafikili watakao enda motoni hawakulisikia Neno la Mungu ???
Chagua kimoja.
Bikira na hamtaki Mungu inshort yeye ni Atheist.
Amabe hana bikra na yupo kwenye wokovu.
Chagua wa kuishi nae kama alivyo.
Ulianzaje sa kupotezana nae na wewe!!!!Mtoto Joline kila uzi lazima nikukute inanikumbusha mtu fulani sana niliepotezana nae humu
[emoji16][emoji16][emoji16]A Simp King
Nimeshangaa Sana [emoji3][emoji3][emoji3]3 years old,congratulation.
Imagine [emoji16][emoji16]Miaka mitatu upo naye hujamla, wala hajakuelewa.... unaita ni mpenzi wako!!
[emoji16][emoji16][emoji16] aisee Mimi hata mwezi siwezi kumalizaSasa mtu hakupi mambo 3 years unakaa nae wakazi gani?
Nakazia [emoji16]Una uhakika gani ni mabikra? Usikute matozi wa chuo wanawala hadi tigo rusha wewe unacheka cheka tu.
lengo la kuoa lipo hila Mimi, sina imani Na hawa viumbe me nipo huku, naofia wakija nitosa wakaliwa Na wengine ntakua nimepoteza sana,Unataka kuharibu watoto wa watu.
Kama unalengo la kuoa waambie unataka kuoa ila kama hakuna bikra wajiandae kurudisha mahari na ndoa kuvunjika.
ndio niwatoto wewe mkubwa umesha, watoa bikraNimeshangaa Sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Itakuwa bado Ni watoto Hawa
Tulitofautiana itikadi yeye alikuwa anasapoti uundwaji na tume kwa ujumla ya katiba mpyaUlianzaje sa kupotezana nae na wewe!!!!
Kwani hizo bikra wanajitoa wenyewe???? Au zinatolewa na nani???Lakini dada mkubwa, with due respect, dhambi ni dhambi tu hata kama itafanywa na dunia nzima. Wema ni wema tu hata kama hakuna mtu atakayeutenda.
What matters ni kuwa we are all obliged kukemea mambo yasiyokuwa mema bila kujali yametendwa na nani, hata kama tutayatenda sisi wenyewe.
Kushiriki tendo la ndoa nje ya ndoa ndiyo kunafanya watu waingie kwenye hii taasisi bila kuwa bikra. Kushiriki tendo la ndoa nje ya ndoa ni dhambi and we should all rebuke this sinful tendency.
We don't need polls nor opinions to discern kwamba hiyo ni dhambi na kwamba dhambi inabidi ikemewe.
We sio bure, hadi Mungu unamtolea mfano ???? Cheeeh mashikolo mageniMalaya ni malaya hata angekuwa ni mungu mwenyewe.
Dhambi haina excuse.
Ninyi ndio mnashindwa kuwa majaji wa kutoa haki pale ndugu zenu au watu wakaribu wanapokosea.
Kama ni mama anafanya uzinzi yeye ni malaya kama walivyo malaya wengine. Kama kaibi ni mwzi kama walivyo wengine. Huo ndio ukweli. Huko ushetanini ndio hamuwezi kukemeana kisa mnaukaribu na waovu
Ndio namshangaa uyo jamaa sasa katoboaje miaka mi3[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16] aisee Mimi hata mwezi siwezi kumaliza
wachache wataelewa kwann nimeweza,Ndio namshangaa uyo jamaa sasa katoboaje miaka mi3[emoji3]
wachache wataelewa kwann nimeweza,
ko ushauri wako Ni upi mkuu?We jifariji kwa maneno ya kuambiwa hadi pale utakapotaka kuthibitisha yaliyomo yamo kweli au hayapo ila kwa kifupi unadanganywa