Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,936
- 4,947
Usibalidi masharti, unafikili watakao enda motoni hawakulisikia Neno la Mungu ???
Chagua kimoja.
Bikira na hamtaki Mungu inshort yeye ni Atheist.
Amabe hana bikra na yupo kwenye wokovu.
Chagua wa kuishi nae kama alivyo.
Hoja yako ya msingi ilikuwa kuhusu mpagani, sio atheist... au kwako ni mtu mmoja huyu?
Nimechgua mpagani, nawe chagua wako.
Tukirudi kwa atheist, kama ameweza kuishi katika misingi kiasi cha kujiepusha na dhambi... doa lake liko wapi?
Pamoja na mambo mengine, kwa kuzingatia mada ya leo... nitachagua huyo uliyemwita atheist aliyejitunza.