Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Usibalidi masharti, unafikili watakao enda motoni hawakulisikia Neno la Mungu ???

Chagua kimoja.
Bikira na hamtaki Mungu inshort yeye ni Atheist.

Amabe hana bikra na yupo kwenye wokovu.

Chagua wa kuishi nae kama alivyo.

Hoja yako ya msingi ilikuwa kuhusu mpagani, sio atheist... au kwako ni mtu mmoja huyu?

Nimechgua mpagani, nawe chagua wako.

Tukirudi kwa atheist, kama ameweza kuishi katika misingi kiasi cha kujiepusha na dhambi... doa lake liko wapi?

Pamoja na mambo mengine, kwa kuzingatia mada ya leo... nitachagua huyo uliyemwita atheist aliyejitunza.
 
Unataka kuharibu watoto wa watu.

Kama unalengo la kuoa waambie unataka kuoa ila kama hakuna bikra wajiandae kurudisha mahari na ndoa kuvunjika.
lengo la kuoa lipo hila Mimi, sina imani Na hawa viumbe me nipo huku, naofia wakija nitosa wakaliwa Na wengine ntakua nimepoteza sana,
 
Lakini dada mkubwa, with due respect, dhambi ni dhambi tu hata kama itafanywa na dunia nzima. Wema ni wema tu hata kama hakuna mtu atakayeutenda.

What matters ni kuwa we are all obliged kukemea mambo yasiyokuwa mema bila kujali yametendwa na nani, hata kama tutayatenda sisi wenyewe.

Kushiriki tendo la ndoa nje ya ndoa ndiyo kunafanya watu waingie kwenye hii taasisi bila kuwa bikra. Kushiriki tendo la ndoa nje ya ndoa ni dhambi and we should all rebuke this sinful tendency.

We don't need polls nor opinions to discern kwamba hiyo ni dhambi na kwamba dhambi inabidi ikemewe.
Kwani hizo bikra wanajitoa wenyewe???? Au zinatolewa na nani???
 
Malaya ni malaya hata angekuwa ni mungu mwenyewe.

Dhambi haina excuse.

Ninyi ndio mnashindwa kuwa majaji wa kutoa haki pale ndugu zenu au watu wakaribu wanapokosea.
Kama ni mama anafanya uzinzi yeye ni malaya kama walivyo malaya wengine. Kama kaibi ni mwzi kama walivyo wengine. Huo ndio ukweli. Huko ushetanini ndio hamuwezi kukemeana kisa mnaukaribu na waovu
We sio bure, hadi Mungu unamtolea mfano ???? Cheeeh mashikolo mageni
 
Duh wewe ulijuaje kwamba ni mabikra?
Lakini pia Mtu anapokuambia jambo anahitaji kutekelezewa yaani kama unania nao waweza kuwaoa
 
Lakini Mkuu mleta mada (Samahani lakini), kumbuka kuwa hata dada yako/ shangazi yako/ mama yako/ mtoto wako anaweza akawa single mother, au akawa mjane apo baadae, unamaanisha asiolewe tena kwakuwa tu tayari alishatolewa bikra siku za nyuma abakie hivyo hivyo tu kwakuwa ameshatengua agano la kuolewa akiwa na bikra?
 
Kama umeshindwa kumla mtoto wa chuo , wewe itakua si rijali
 
Back
Top Bottom