Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Naomba unijibu maswali haya kiongoz
1. Je wazazi wako ww wana mgogoro wwte?
2. Unaweza nithibitishia mzaz wako wa kiume alimkuta mzaz wako wa kike bikira ?
3. Hadi kusema hv utakuwa umeoa bikira je ukitazama ndoa yako ilivyo na amani ina uhusiano wowote na bikira ya mzazi wako?

Note sijasema kwa maana mbaya kuna kitu nataka kujifunza kaka.
 
...mwaka wa 3 hajawai nielewa, kuhusu kunipa tunda , huyu mwingine nnae kwa miezi minne now, kila nikimwambia aje, anasema awezi kuja, kama nampenda nimsubiri hadi, nimuoe Na kuolewa hataki et muda bado,
Wakati ww unaendeleza ngojera itakuwa kuna wenzio wanakula
 
Njia ni kuoa.
 

1. Sina mgogoro wowote na wazazi wangu
2. Aliyethibitisha ni Baba yangu ambaye naye alituusia kama alivyousiwa na Baba yake(Babu yangu) Kuwa ni desturi ya ukoo wetu kuoa bikra. Hivyo huu ni utamaduni wa ukoo wetu.
3. dnio kuna uhusiano mkubwa Mkuu.

Karibu sana
 
We sio bure, hadi Mungu unamtolea mfano ???? Cheeeh mashikolo mageni

Mwanafunzi mgumu wa kuelewa unamtolea mifano migumu ili azidi kuchanganyikiwa, mwanafunzi mwenye kichwa chepesi unamtolea mifano mepesi
 
Wapenzi gani tena jamanii? Si kuna sifa za kuitwa mpenzi ambazo ww huna?
 
Ulijuaje Kama mkeo alikuwa na bikra?
Maana kuna bikra za mchina siku hizi
 
Safi kabisa...hili swala halihitaji mjadala wa kitaifa maana lipo wazi, anaepinga ujue yameshamkuta hivyo anashindwa tu kukubali ukweli.
 
subiri miaka mitatu zaidi mpaka wamalize uoe, cha msingi wewe chagua mmoja ambaye unamuamini, kisha muweke karibu yako sana, make sure anapata upendo wote kutoka kwako, mtoe out mara kwa mara, kumuepusha na lawama na laana anazosema joka jeusi hata mpaka utakapomuoa, tafuta malaya mbali kabisa endejea kujipigia taratibu ukimsubiri
 
Sasa unalia nini ikiwa hawakutaki? Ebu naomba namba zao za simu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…