Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Ndiyo wadogo zetu hawaA Simp King
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo wadogo zetu hawaA Simp King
Naomba unijibu maswali haya kiongozHabarini Wakuu.
Naweza kuwa tofauti na wengi, Naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa. Lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. ni suala litakalo iweka dunia salama hasa katika kipengele cha mahusiano ndani ya ndoa.
Haijalishi tulikosea wapi na kujikwaa wapi. Makosa tuliyoyafanya tuhakikishe hayajitokezi kwa wana na binti zetu. Ili familia zetu ziweze kuwa bora na zenye baraka kwa Mungu.
Bikra ni alama aliyopewa mwanamke kuthibitisha kuwa hajaguswa na mwanaume. Kwa nini Mwanamke apewe alama hii? Nitakupa mfano, Ukienda kununua kitu dukani kuna alama fulani huwekwa katika kitu husika ikiashiria kitu hicho ni kipya. Ndivyo ilivyo kwa mwanamke, bikra ni uthibitisho namba moja kuonyesha mwanamke husika ni kigoli, mwanawali na ambaye hajaguswa. Mwanaume hajapewa alama hii kwani yeye hayupo kwaajili ya mwanamke bali mwanamke kwaajili ya mwanaume. Hivyo ni kusema mwanaume ndiye mwenye wajibu wakumtafuta mwanamke kama bidhaa yenye thamani kushinda zote duniani.
Ili ndoa zetu zidumu lazima jambo hili lizingatiwe. Watu wengi wanachukulia ni jambo jepesi lakini athari zake zinaonekana. Usishangae kusikia watu kudhihakiana kwa majina elfu. Mara kibamia, sijui Bwawa haya yote ni matokeo ya kuoa wanawake wasio bikra.
Tuje kwenye maandiko;
Kumbukumbu la torati 22:
13 Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,
14 kisha akamshitaki mambo ya aibu kumzushia jina baya, akasema, Nimemtwaa mwanamke huyu, nami nilipomkaribia sikuona kwake alama za ubikira;
15 ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni;
16 na baba yake yule kijana awaambie wazee, Mwanamume huyu nilimpa binti yangu awe mkewe, naye amchukia;
17 angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
18 Basi wazee wa mji ule na wamtwae yule mtu mume na kumrudi,
19 wamtoze shekeli mia za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.
20 Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
21 na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
Aya hizo zinaonyesha jinsi gani Bikra ilivyomuhimu kwa watu makini. Mwanamke asiye na alama za ubikira humdhalilisha Baba yake kwani inatafsirika alifanya ukahaba katika nyumba ya baba yake. Au huenda Baba yake ndiye aliyembikiri.
Pia hufanya familia husika kuonekana ni familia ya kikahaba na uzinifu jambo ambalo ni aibu kwa familia na ukoo kwa ujumla.
Aya hizo pia zinaonyesha kuwa mwanaume anayohaki ya kudai bikira kwa mke wake endapo hajaikuta. Jambo ambalo kwa ulimwengu wa sasa wanawake wengi wasingeolewa na kuishia kuwa makahaba wa mjini.
mambo ya walawi 21
13 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake.
14 Asitwae mjane, wala mwanamke aliyeachwa na mumewe, wala mwanamke mwenye unajisi, wala kahaba; lakini atamwoa mwanamwali katika watu wake mwenyewe.
15 Naye asiwatie unajisi kizazi chake katika watu wake; kwa kuwa mimi ndimi Bwana nimtakasaye.
Aya hizo zinamhusu mtu yeyote makini, mwenye kumcha Mungu, anayetaka utakatifu na anayetaka ukoo na kizazi chake kiwe kitakatifu.
Ili familia isiwe najisi basi lazima mwanaume aoe mwanamke Bikra, Asioe mjane au mwanamke aliyeachwa na mtu mwingine au kuokota wanawake kwenye mabaa. Lengo ni kutokitia kizazi chake unajisi.
Kutokana na shetani kutamalaki, watu siku hizi huokota okota tuu wanawake popote. Wengine huokotana Baa na kwenye kumbi za starehe. Wengine huenda kabisa kwenye madanguro na kujichukulia wake ilimradi tuu. Watu wa namna hii hukutwa na madhila makubwa ndani ya ndoa. Kama si kuzaa watoto mashoga,basi ni wasagaji. Kama si wasagaji hupata watoto malaya na makahaba. Ni rahisi watoto kuzalia nyumbani kwani Baba na mama ni wale wale tuu.
Hapo hapo utasikia mwanaume anakibamia au hana nguvu za kiume. Au mke wangu ana K kubwa au sio mtamu. Ulijuaje mkeo sio mtamu kama hukuwahi onja vya nje.
Mwenye jukumu la kulinda bikra ya mtoto ni nani?
Jibu ni moja, Ni mzazi.
Wazazi ndio watu pekee wenye jukumu la kuilinda bikra ya mtoto wao. Changamoto inatokea pale endapo Mama hakuweza kulinda bikra yake sembuse ya mtoto. Baba naye aliuziwa mbuzi kwenye gunia hawezi kuwa na muda huo.
Lutu alikuwa ni mzazi wa kiume lakini aliweza kujua kuwa mabinti zake ni bikra. Utajiuliza alijuaje. Ni rahisi kwa Baba mwenye kujali familia yake kujua kinachoendelea kwa watoto wake. Lakini wababa wazembe na wanaoaibisha ubaba wao huuliza maswali yakijinga kama Mimi ni Baba nitawezaje kulinda bikra ya binti yangu. Jibu ni kuwa huwezi ikiwa mwenyewe ulichukua mtu asiye na bikra.
Kwa upande wa wachungaji, maaskofu na mapastor. Hii kwao ni moja ya sheria kubwa na muhimu. Mchungaji hawezi kukamilika ikiwa amechukua vitu vya mtumba. Ndio maana baadhi ya Wachungaji wa siku hizi wapo wapo tuu. Hawana tofauti na watu wa mitaani.
mambo ya walawi 21
13 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake.
14 Asitwae mjane, wala mwanamke aliyeachwa na mumewe, wala mwanamke mwenye unajisi, wala kahaba; lakini atamwoa mwanamwali katika watu wake mwenyewe.
15 Naye asiwatie unajisi kizazi chake katika watu wake; kwa kuwa mimi ndimi Bwana nimtakasaye.
Nawasilisha.
Nakaribisha hoja na mapovu yenye hoja pia.
Hoja zijikite kwenye maandiko ya kwenye biblia.
Wakati ww unaendeleza ngojera itakuwa kuna wenzio wanakula...mwaka wa 3 hajawai nielewa, kuhusu kunipa tunda , huyu mwingine nnae kwa miezi minne now, kila nikimwambia aje, anasema awezi kuja, kama nampenda nimsubiri hadi, nimuoe Na kuolewa hataki et muda bado,
Njia ni kuoa.Nina wapenzi wawili wote Ni bikra, huyu mmoja tupo nae, mwaka wa 3 hajawai nielewa, kuhusu kunipa tunda , huyu mwingine nnae kwa miezi minne now, kila nikimwambia aje, anasema awezi kuja, kama nampenda nimsubiri hadi, nimuoe Na kuolewa hataki et muda bado, Na wote wapo chuo mwaka wa kwanza, kiukweli nashindwa kuenjoy nao, Na kuwaacha hivi hivi siwezi, kiufupi wadada mabikra Ni wasumbufu sana hata jinsi ya kuwapata, uwage tu mvumilivu, nawawazia sana sijui niende Na njia ipi, now
ko ushauri wako Ni upi mkuu?
Naomba unijibu maswali haya kiongoz
1. Je wazazi wako ww wana mgogoro wwte?
2. Unaweza nithibitishia mzaz wako wa kiume alimkuta mzaz wako wa kike bikira ?
3. Hadi kusema hv utakuwa umeoa bikira je ukitazama ndoa yako ilivyo na amani ina uhusiano wowote na bikira ya mzazi wako?
Note sijasema kwa maana mbaya kuna kitu nataka kujifunza kaka.
1. Sina mgogoro wowote na wazazi wangu
2. Aliyethibitisha ni Baba yangu ambaye naye alituusia kama alivyousiwa na Baba yake(Babu yangu) Kuwa ni desturi ya ukoo wetu kuoa bikra. Hivyo huu ni utamaduni wa ukoo wetu.
3. dnio kuna uhusiano mkubwa Mkuu.
Karibu sana
Ehe Aya bana,[emoji23]Tulitofautiana itikadi yeye alikuwa anasapoti uundwaji na tume kwa ujumla ya katiba mpya
Mi nilikua napinga katiba mpya kwenye ule uzi hapo ndo tulipokosana
chukua time!
Kama unashindwa kutofautisha kitu OG na kitu Artificial basi wewe unazidiwa akili hata na mnyama
sihudumiiAchana na kuwaita wapenz wako sijui unafanya hivyo kw sababu ipi hasa si ajab na kuhudumia unahudumia
Hili ni swal zur sanaSasa mtu hakupi mambo 3 years unakaa nae wakazi gani?
Sasa unalia nini ikiwa hawakutaki? Ebu naomba namba zao za simu tafadhali.Nina wapenzi wawili wote Ni bikra, huyu mmoja tupo nae, mwaka wa 3 hajawai nielewa, kuhusu kunipa tunda , huyu mwingine nnae kwa miezi minne now, kila nikimwambia aje, anasema awezi kuja, kama nampenda nimsubiri hadi, nimuoe Na kuolewa hataki et muda bado, Na wote wapo chuo mwaka wa kwanza, kiukweli nashindwa kuenjoy nao, Na kuwaacha hivi hivi siwezi, kiufupi wadada mabikra Ni wasumbufu sana hata jinsi ya kuwapata, uwage tu mvumilivu, nawawazia sana sijui niende Na njia ipi, now