Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Pole kwako kuwa na one sided view of life!...

na wewe utaoa bikira, utampata wapi?...
Kwani duaniani bikra hamna au?? Hivi hawa wanawake wanaokuja kupinga hii mada ni wake za kina nani?? Au wana mpango wa kuolewa na kina nani?? Sheeenzi kabisa! Wewe kama huna wenzako wanayo tena wengi tu! Omba upate mume na sio kupinga kwamba hakuna umuhimu wa kuoa bikra!!
 
Umekua🙌🏻🤝
 
Kawaida sana hii kitu.
Binafsi enzi zangu za kishuleshule nilibahatika kubanjua Bikra mbili, lakini mabinti wote hao walikuja kuolewa na wanaume wengine. Jambo la kawaida ni kila ninapokutana nao zoezi la kupasha kiporo linaendelea kama kawaida.
 
Toka huku kabisa maan topic haiwahusu mizoga kama ww!! Hivi uliyenae kweny mahusiano anajua kwamba unatetea umalaya huku kweli!!
 
Sina swal tena
 
Hii inaendelea au ndio ilifika mwisho? Maana sijaona faida ya kuoa bikira namadhara ya kuoa asiye bikra
 
hata wewe ni mzinifu,halafu uko fake sana,huendani na reality at all hio moja, na hauko real hio mbili, inaelekea unaweza kufanya lolote just to be noticed, huyo mkeo ana kazi kubeba mwanaume furushi kama wewe
Mwenye kazi ni huyo atayekuoa ww ambaye unatete ukahaba!
 
Utakuja kukutana mdada anayemaliziamalizia hedhi akubambike bikra mkuu, mapenzi hayachagui.
 
Wewe uliishia kuona tu mwenzako akapewa tunda na kutoa bikra baada ya mda huyo manzi anakutafuta na bla bla eti alitamani bikra uitoe ww hata kama ameolewa atakupa tunda mwisho wa siku kaliwa hadi papuchi imekua sugu ndio unaletewa we mnyonge halafu unafurahia.
 
Point ya jamaa siyo kupewa tunda wa mwisho au kula makombo! Point yake ni kwamba mwanaume unaweza kuoa mwanamke bikira na bado akakusaliti kwenye ndoa kama huyo mwanamke alivyomsaliti mumewe na kutembea na jamaa mbona mnajifanya mnakaza vichwa!
 
Mtakuja lawatiwa kwenye ma lodge ya watu nyie oneni sifa tu kula wake za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…