soshoMidia
Member
- Nov 11, 2020
- 70
- 62
[emoji23]We peleka Moto...mpelekee Moto..peleka moto
Sasa Agano jipya linasemaje kuhusu hawa wanawake wasio na Bikira? Tuwaue au Tusiwaoe?Mwanadamu tangu anazaliwa anamjua Mungu Mkuu/
Mtu hafundishwi kumjua Mungu
Kasome biblia nduguSasa Agano jipya linasemaje kuhusu hawa wanawake wasio na Bikira? Tuwaue au Tusiwaoe?
Maana katika ufalme wa mwana wa Adamu hatutaoa Wala kuolewa. Naomba mwongozo mkuu.
😁😂😂😂Namwoa ikiwezekana ck hiyohiyo🤪
Kweli kabsa^ulishawahi kukutana na watu wa aina hiyo?^
Siku ukikutana nao watu wa sampuli hiyo, usiseme tena humjui au hujawahi kumwona Shetani alivyo.
Sijajua kwani kasemajeKwani Jokajeusi anasemaje kwenye hili
🤔Nasubiri jibu lolote kutoka kwa shabiki wa Liverpool
Man U lazima anipe point tatu kwenye match ya marudiano EPL.Nasubiri jibu lolote kutoka kwa shabiki wa Liverpool
Ndio jibu hili mkuu.Man U lazima anipe point tatu kwenye match ya marudiano EPL.
Acha tu Fernandez kanichanganya..Ndio jibu hili mkuu.