Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

nasema hivi .siku nitakapo muona mkeo huyo.ndo nitakuunga mkono kuhusu mtazamo wako.
Kwa Sasa hapana.

Sitaki uniunge mkono, siku utakapo kutana na mke wangu najua lazima umtongoze na ufisi wako.

Wapo wanaonijua humu, wenyewe ni mashahidi, bado wewe kumtongoza
 
Watatoka wapi na wanaume ndiyo hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye magunia

Au mnafikiri watashushwa wengine halafu hawa tunaowachezea watakuja kuyeyuka ghafla
tusidaaiana mahari.....mahari ni kwa msichana bikra......huna bikra wewe ni mwananke ntu nzima.....
 
inakaa wapi?.......wakati katika balehe nimepiga bao kibao ndotoni....
Wala tusibishane, naomba kifungu iwe kwenye kitabu chochote kile wala sio bible pekee yake, usijesema nimeku-limit
Mkuu kwani umeisoma biblia ukaimaliza?

Mwanaume anayo bikira, lakini siyo ya kuonekana kwa macho,
ni ya ulimwengu wa Roho...

Kitendo cha Neno la Mungu kusema USIZINI
ina maana unapozini kuna jambo linatokea katika mwili na katika Roho,
ambalo linaleta uharibifu juu ya wanaozini....

Huwa sisi kama wanaume tumekuwa wepesi wa kuwalaumu na kuwanyooshea vidole wanawake kwa sababu bikra zao zinaonekana kwa macho...kwa hiyo akiwa hana anajulikana na kutambulika

Lakini tunasahau kwamba hata Mwanaume anapozini kwa Mara ya kwanza kuna UNAJISI unatokea juu ya mwili wake na Unajisi huo unaharibu mpaka rohoni, yaani Bikra yake (usafi na Utakatifu) ambao chanzo chake ni Ulimwengu wa Roho unakuwa umeondoka, na madhara yake yapo.

Unapozungumzia Bikra ni jambo la Kiroho kwanza kabla halijawa la Kimwili...

Ni kweli kabisa kama ulivyosema Madhara hayo ya kutokuwa na bikra kwa mwanamke ni makubwa na ya Aibu zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamume kwa maana Alama pekee ambayo inayobaki kwenye mwili wa mwanamume na ikaonekana kwa macho ni Tohara...

Ila ujue wanaume nao wanayo Bikra na wanaume nao pia wanatiwa unajisi na wanawake na hili limeandikwa katika Biblia kitabu cha;

(Ufunuo 14:4)
Biblia inaeleza wazi.
 
Uzi pendwa😁😁😁

Kama kuna bikra aje tuyajengeeeee, tusijucheleweshe bureeeee. Nitaulizwa ww ipoje? Nitawajib TUMBO LA NJAA HUWEZI LIINGIZIA MAJI ILI LITULIE😁
 
mkuu sio wote ni wakristo, au sio wote wenye dini.........tunazungumza ya duniani bwashee.....katika balehe ya mwanaume bao lazima zikutoke sasa bikra ni kitu gani kwa Mwanaume........?????...sikia Mungu hakukosea, hajakosea na hatokosea, alimuumba binaadamu kwa ukamilifu till mwisho wa DAHARI.....
 
Ni kweli kabisa humu wote siyo Wakristo lakini Mimi nimejibu kwa kuzingatia mleta mada amenukuu mistari ya Biblia kwa hiyo ina maana Misingi ya hoja aliyoleta humu ameitoa kwenye Biblia na ameiandika hapo juu

Na Mimi ninemjibu kwa kuzingatia Muktadha huo huo aliouleta.
 
Wewe ni ke sema bado hujajijua, nina uhakika asilimia 90% ndani ni ke ila cover yako ya nje ndio me.
Hivyo hakuna anayekushangaa humu
Ndio hana akili hakuna nilipobisha,

Mwanaume hawezi jitunza, sidhani kama unajua hata maana ya mwanaume, na ndio maana nakuita wewe ni mwanamke.
Sijaona bado ulipojibu hoja yangu zaidi ya kung'ang'ania kuwa mimi ni KE! Kwani unafikiri hata uking'ang'ania kuwa mimi ni KE ndiyo itabadilisha jinsia yangu mkuu?

Cha msingi jibu hoja mzee acha kuzunguka! Unaonaje ukawashikia bango na wanaume wanaozini kuwa hawana akili kama ambavyo unawashikia bango wanawake wasio mabikira kuwa ni malaya kama ambavyo maandiko yanasema mbona hapo unakwepa?
 
MTOTO MALI YA SERIKALI,ANALELEWA NA MZAZI NA. ALINDWA NA MUNGU.
(HUNA LA KUFANYA,LABDA UMTENGENEZEEE BIKRA FEKI ZA WADIGO,KUJIPA HESHIMA)


OMBA USIJEPATA UNACHOKITAFUTA KWA NGUVU, AMBACHO NI MTOTO KUZALIA NYUMBANI.....NA KUHUS BIKRA ZA MAMAKO NA BABAKO,HUNA LA KUTHIBITISHA,KWAKUWA UMEAMBIWA TU.



NB: TAFUTA HELA ACHA HASIRA NA MABIKIRA.
 
Unachokisema ni wazi kabisa vijana wa sasa hatuthamin utu wetu tulio pewa na mungu na kwa karne hii kupata mwanamke bikra ni kaz na hata ukimpata inaweza kua shida kwenye tabia alaf sio kwamba bikra ndo inayotunza ndoa hapana isipokua ni mwenendo wa mwanamke mwenyewe
 

Serikali haina mtoto na haijawahi kuwa na mtoto, labda wewe ndio mtoto wa serikali.

Pesa kwangu sio agenda, wewe kama ulizaliwa familia masikini ndio utafute pesa sio mimi,

Kama hukuolewa na mwanaume aliyekutoa bikra basi jua uliyenaye unamdhulumu
 

Hakuna mwanamke aliyeolewa akiwa bikra asiwe na mwenendo mzuri, sijawahi kuona,
 
wewe ndio huna jipya kila siku unaleta ishu hio hio...huna maajabu, stupid.

Hahaha! Mimi na wewe nani hana maajabu wakati huna yaliyomo, kila dume lilichukue mali ya urithi wako
 

Hoja yako ni ipi ambayo sijaijibu? Nimeshakupa link ya mada zangu zinazojibu maswali yako yote na mengine ambayo hujauliza.

Kuhusu suala la kukemea wanaume wazinzi hilo hata wewe unaweza lishikia bango na kulikemea na sio kunituma mimi, mimi situmwi na mwanamke hasa mpumbavu na mjinga kama wewe.
 

Wewe inaonekana umeoa mwanamke asiye na bikra, so mada za joka jeusi zinakuumiza. Mpe talaka huyo mwanamke malaya uliyenae kisha tafuta bikra ili upunguze jazba na hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…