[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii tag ndio naiona Leo
App yangu hainipi notification.
Nimepita,
Huyu anachoongea yupo sahihi kabisa ila ninachogombana naye ni kitu kimoja.
Anahamasisha wanaume wawe wazinzi.
Ni sawa na anatwanga maji kwenye kinu.
Wakati huo huo anajisifu kwa kutembelea PM za wadada na kutongoza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha akiona unasapoti wanawake basi kwake automatically unakuwa ni KEHuyu jamaa anatatizo LA kisaikojia,
Anamuita kila mtu KE,ili kumshinda kisaikolojia,yaan yuko anajibu kama vita,na sio kujifunza.
NB: kaniita KE pia,badala ya mkuuu wkt mie ME.(cjui anatumia kigezo gan)
Ambao hata tukioana hatutaki kumgusa tunanyosha niniπMwanaume ambaye yuko tayari kutomgusa mwanamke hadi amuoe anyooshe mkono juu..
Tunatishana SanaMwanaume ambaye yuko tayari kutomgusa mwanamke hadi amuoe anyooshe mkono juu..
Nilikuwa naenda kukomenti hiviMwanaume ambaye yuko tayari kutomgusa mwanamke hadi amuoe anyooshe mkono juu..
Mnanyoosha naniliu tuone kama mnazoAmbao hata tukioana hatutaki kumgusa tunanyosha niniπ
Za siku rafiki?Nilikuwa naenda kukomenti hivi
π ππMnanyoosha naniliu tuone kama mnazo
Salama habari ya wewe rafikiZa siku rafiki?
Ndio nyinyi mnanyoosha hiyo hiyo NINI.[emoji16]Ambao hata tukioana hatutaki kumgusa tunanyosha nini[emoji849]
Hili nalo nenoMwanaume ambaye yuko tayari kutomgusa mwanamke hadi amuoe anyooshe mkono juu..
Za kupotea we mdada?Mnanyoosha naniliu tuone kama mnazo
Nzuri tu namshkuru Mungu.Salama habari ya wewe rafiki