Wadau wanaume tunapenda Sana bikra, tunaiimba kwa nyimbo tamu na husda iliyojaa asali na thamani kubwa! Lkn je tunafanya Nini kuhakikisha hii bikra inatunzwa na binti zetu mpaka ndoa? Jibu rahisi tu sisi wanaume ndo waharibifu wa kwanza kabisa wa hizo bikra! Unamtongoza kigoli was watu kwa bidii zote, zawadi kemkem, unahonga mpaka pesa ya ada au mtaji au nauli ili upate kula mbususu mwishowe unafanikiwa na kumtoa bikra Mtoto wa watu, ukitoka hapo kijiweni kujisifia nishamaliza mchezo. Kumbe kesho yake binti anaenda olewa Hana bikra tukaanza kuwaponda. Ukitaka mwanamke bikra Anza kumuelimisha mshkaji wako aachane na mapenzi kabla ya ndoa( hahaha hapa tutauana) ili kila mwanaume aache kubikiri aende kutoa hiyo seal ndani ya ndoa! Otherwise wachawi ni sisi wenyewe wanaume!!!