Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Weee usiniambie bhan
.
FB_IMG_1622134043382.jpg
 
Wadau wanaume tunapenda Sana bikra, tunaiimba kwa nyimbo tamu na husda iliyojaa asali na thamani kubwa! Lkn je tunafanya Nini kuhakikisha hii bikra inatunzwa na binti zetu mpaka ndoa? Jibu rahisi tu sisi wanaume ndo waharibifu wa kwanza kabisa wa hizo bikra! Unamtongoza kigoli was watu kwa bidii zote, zawadi kemkem, unahonga mpaka pesa ya ada au mtaji au nauli ili upate kula mbususu mwishowe unafanikiwa na kumtoa bikra Mtoto wa watu, ukitoka hapo kijiweni kujisifia nishamaliza mchezo. Kumbe kesho yake binti anaenda olewa Hana bikra tukaanza kuwaponda. Ukitaka mwanamke bikra Anza kumuelimisha mshkaji wako aachane na mapenzi kabla ya ndoa( hahaha hapa tutauana) ili kila mwanaume aache kubikiri aende kutoa hiyo seal ndani ya ndoa! Otherwise wachawi ni sisi wenyewe wanaume!!!
 
Mke bora ni yule anayekuheshimu, anakupenda ,hana kinyongo wala gubu na ndugu zako ,mwaminifu na mvumilivu.
Hata ulipishwe mamilioni kwa kigezo cha bikra kama hana sifa hizo za juu, umeliwa kaka [emoji23]
 
Jokajeusi anapitia katiba yake soon atakuja na majibu ya maswali yenu
 
Nasema ivi bikra aliye katika njia za Mungu pekee ndo mke mwema and not otherwise. Na kwa hilo Mungu atamficha kwa ajili ya a certain special someone. Sasa we kurumbembe uhangaike na dunia uje umchoshe mtoto wa watu na makutu yako umeshapeleka moto kwa wanawake 1000 na halafu upate lulu yenye thamani mavi ya bata!!!!
 
Back
Top Bottom