Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra



Chagua popote ujengewe sanamu lako Mkuu
 
Mke bora ni yule anayekuheshimu, anakupenda ,hana kinyongo wala gubu na ndugu zako ,mwaminifu na mvumilivu.
Hata ulipishwe mamilioni kwa kigezo cha bikra kama hana sifa hizo za juu, umeliwa kaka [emoji23]


Kama alishindwa kujiheshimu atakuheshimu wewe??
 


Wazazi ndio watunze watoto wao,
Kama wanashindwa kuwalea vizuri mpaka wananyanduliwa hakuna sababu ya kuwaambia wanaume waache Kula Raha Kwa watoto walioshindwa kulelewa na wazazi wao.

Au walioamua kuwaasi wazazi wao
 
amen.
 
Hahaha, BIKRAMAN Joka katika ubora na msimamo wako
 
Mimi kwa mawazo yangu, natamani sana harusi zingefungwa kwa wadada, walio Na bikra.

Hawa wengine, tusubiri kubariki tu ndoa baadaye.

Kuna vitu nawaza hapa, umefunga harusi Na Mdada aliyetoka chuo, huko kadanga hadi amechoka, ile Siku ya honey moon, huenjoy chochote, sijui kwa wazoefu mnasemaje?
 
Raha kubwa Sana, hana usumbufu na hakuna asichokijua

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Kwani nawe unakuwa bikra au ni ile hali ya chako kitamu changu kichungu mwanangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…