Dada tukubali utamaduni wa magharibi kijana na binti waryuhusiwe kuwa na Bf/GF hata wakiwa wadogo.Pande zote mbili za wazazi zijue.Waelezewe madhara ya kufanya ngono eitha salama au zisizo salama.Waelezewe umuhimu wa kuwa na bikra au kutokuwa nayo na watawajibika vipi bikra wakishirikiana kuitoa.Tufanye nini ili tuhakikishe mabinti wetu wanaolewa na bikra?
Kaka, kama society kuwa na role models ambao wataongea na vijana kupitia mitandao ya kijamii, redio, hata TV. Kuwaeleza vijana walivyofanikiwa wao wenyewe kutunza bikra mpaka kufikia chuo Kikuu na mpaka kufikia ndoa.Dada tukubali utamaduni wa magharibi kijana na binti waryuhusiwe kuwa na Bf/GF hata wakiwa wadogo.Pande zote mbili za wazazi zijue.Waelezewe madhara ya kufanya ngono eitha salama au zisizo salama.Waelezewe umuhimu wa kuwa na bikra au kutokuwa nayo na watawajibika vipi bikra wakishirikiana kuitoa.
Me Kwenye harusi hapo ndo shidaKuna watu wameolewa wakiwa na watoto lkn mpaka leo wanaheshimu ndoa zao, hapo utasema mwanaume ameoa laana..? Jibu ni hapana. kila mwanaume anatamani aoe bikra lkn unaweza kuta huyo huyo mwanaume ametoa bikra zaid ya 10 na bado akaoa malaya.
Kenolway you can not have your cake and eat it. Ni mabinti wangapi umeshafanya nao ngono mpaka sasa hivi?
kuoa sijakataa hila kufanya harusi Na mwanamke ambaye sio bikra, ndo tatizo linapo anza, unakutana Na Mdada siyo bikra afu, analazimisha harusi, sasa zile Siku Saba Za mwanzo wanazo zisemaga, Za kulana tu, me nahisi izo Siku waliweka kwajiri ya kufundishana tendo la ndoa, sasa unakutana Na Mdada, kila kitu sio kigeni kwake, hata akusumbui sumbui labda aseme Subiri kwanza panauma,n.k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasema ivi bikra aliye katika njia za Mungu pekee ndo mke mwema and not otherwise. Na kwa hilo Mungu atamficha kwa ajili ya a certain special someone. Sasa we kurumbembe uhangaike na dunia uje umchoshe mtoto wa watu na makutu yako umeshapeleka moto kwa wanawake 1000 na halafu upate lulu yenye thamani mavi ya bata!!!!
Hakika umenena[emoji120]Lakini je na wewe ni bikra na ww ni bikra ama ndio kunya anye kuku akinya bata kaharisha...
Mwenyezi Mungu katika quran surat an nur(24) aya ya 3 kasema.
3. Mwanamume mzinifu hamwoi ila mwanamke mzinifu au mwanamke mshirikina. Na mwanamke mzinifu haolewi ila na mwanamume mzinifu au mshirikina. Na hayo yameharimishwa kwa Waumini.
Tuache kuwazini zini watoto wa watu, halafu ndio ttutafute bikra, sio umemzalisha kidawa mtoto kwa zinaaa, kisha unakuja kumtafuta bikra, hata ukifanikiwa kuipata watakugongea tu, deni la zinnaa halichachi..
Tuache uzinifu.
mmnh unaioverate bikira mkuu,wanazozitoa ni wanaume wenzio,wasingekuwepo watu wangebaki bikira LOL,wacha kutupia lawama wanawake….
sijui hizo percentage umezitoa wapi??mnhhh….
24+ kukutwa na bikira wachache mkuu
sio kweli inadumisha mahusiano,wengi wanachepuka hata baada ya kuoana mabikira
Bikira [emoji106]Bikra muhimu Kongole kwako Jokajeusi
Thanks for correctionBikira [emoji106]
kweli kabisaDada, mama , Au huenda mdogo wangu rebeca
Nimesoma hiyo line yako ya kua (wanazitoa wanaume wenzie,na kama wasingekuepo wangebaki bikra...nakukanusha
Nnayaandika haya nikilenga zaidi tamaa ya wanawake wa sasa na vitu vilivyo nje ya uwezo wao
Mtokeo yake ndio haya,
Wadada wamekua RAHISI sana,
Nakumbuka [mention]Kasie [/mention] K matata kuna siku aliwahj kulisemea hili ingawa sikumbuk ni nyuzi gani ,watoto wa kike wamekua rahisi,ujanja na wajuaji sana
Leo hi bint wa miaka 12,3,4,5 anafaham hadi tango na bamia
Humdanganyi kitu kuhusu style za mapenzi...hi ni sawa?
Watoto wadogo wanatumia simu wazazi wanatazama tu! Na hawashituki kabisa!
Wanaeudi home saanne usiku! Na mama hana shidaaaa!!!
Mimi,na hata wadogo zangu wote nmewafatilia sana
Ni nadra sana kutukuta tunazulula usiku
Mala nyingi hata tukienda nyumbn kwa mzeesaa 12 sote tupo ndani
Na wengine tunakazi ila bado ile system inaishi kwetu na tupo huru kutembea na kufanya chochote
Kwahyo usihusishe wanaume kwenye hili
Janga la kwanza ni watoto wakike wenyewe,wazazi wanakuja,malafiki wanasogea pia
Nipo mkuuNajiuliza, hivi kweli kuna mwanaume hajawahi kufanya tendo la ndoa akisubiri mpaka ndoa halali? Kama yupo hana haja ya kulipa mahari kwani hiyo ni zawadi ya pekee kwa mwanamke. Ataona wanawake wote wapo sawa hivyo kuchepuka kwake mwiko.
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kila mtu ana maamuz binafs juu ya mwli wake, lkn kuna walobakwa zkatoka. Na wengne hawakuona umuhimu wa kujitunza, na mambo yanabadilika kila itwapo leo.
😊Muhim n kuombea watoto wetu na kuwafundsha kujitunza, na thamani iliyopo katka kujitunza. S wakike ama wakiume kujitunza n muhimu kwa jisia zote.