Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Raha ya kuoa bikra hajui kutofautisha vibamia..
😁😁


Bikra wanafaida 99%. Tatizo lao siku akionja vya nje utakufa kwa presha vinginevyo uwe hodari wa mapenzi
 
Sema mkuu, usiamini sana Bikra. Utatengenezewa na utatapeliwa hela zako za mkopo
 


Siyo kweli, unarahisisha sana mambo, kuna Wanaume pia wengi tu wanaishi maisha yao yote peke yao na wanazeeka peke yao hao na utasemaje?

Binadamu wote hatuko sawa na tunazaliwa tofauti, kama nilivyosema kuna watu Wanaume/ Wanawake hawawezi ku-bond, wako hivyo maana yake ni kwamba hawawezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na binadamu mwingine, ndo maana huamua kuishi peke yao.
 
Mkuu, mwanamke akiwa bikra unamjua hata kama hujaona. Kama huna uelewa na mambo hayo si unamuuliza tuu. Mambo mengine mepesi sana. Au unaogopa Bikra feki?
We unauhakika gani kama huyo bikira uliyenaye sio feki? This is not the point though

Anyway, nimekuelewa Einstein, bila shaka unadhani sijawahi kukutana na bikira, kwa akili yangu ndogo, yule binti niliyemkuta bikira(Mungu alishanisamehe) siwezi kumuoa hata kwakulipwa hela. (Ilikua bikira ya kweli)
 

Mtu kuishi peke yake haimaanishi anapenda iwe hivyo bali hana namna
 


Kumbe ulishafanya makosa kuharibu mtoto wa watu ndio maana Mungu naye kakupa garasha ijapokuwa amekusamehe. Siwezi lala na mwanamke bikra ilhali najua sitamuoa. Bora nibaki na hawa magumegume kwanza
 
Kumbe ulishafanya makosa kuharibu mtoto wa watu ndio maana Mungu naye kakupa garasha ijapokuwa amekusamehe. Siwezi lala na mwanamke bikra ilhali najua sitamuoa. Bora nibaki na hawa magumegume kwanza
Aisee me nilidhani kua wewe ni Einstein pekeake, kumbe pia ni mdogoake (sijui ni shemej yake, sijui babaake mdogo) Mungu.

Nadhani alikuachia wewe uamue juu ya msamaha wangu ndomana msamaha umeambatana na garasha(kwa mujibu wako). Misamaha anayotoaga Mungu hainaga malipizi (hiyo ndo tafsiri ya msamaha).

By the way, sijutii.. kumuacha yule aliyekua bikira, nisingefanya vile nadhani ndoa isingeishi.

Kumbe nawewe unamagumegume afu unatarajia bikiraa.. [emoji2][emoji2][emoji2] dunia haiko fair, sasa hao magumegume wako awaoe nani, mwanaume bikira? Teh teh..
 
mtu akiamua kuishi peke yake na umri wake unaruhusu kuoa au kuolewa ujue kuna sababu tu ila si kwamba haitaji mahusiano ambayo ndio hupelekea ndoa....sikatai binadamu wote si sawa ila kuna mambo tuko sawa kwa kila mmoja yani kupenda ni kama kifo tu kwamba si hiari lakini ni lazima kikukute, mapenzi hujiendesha, siamini mtu kuishi pasipo kupenda.
 


Ndo maana nimesema unarahisisha mambo, siyo kwamba wanaamua ni kwamba wako wired hivyo kwenye ubongo wao, labda nikuulize kwa nini kuna watu hawawezi kuongea kabisa ni wakimya na wengine wanaongea sana? Unaweza kuniambia ni kwa nini?
 
Mkuu acha wamulike tu tochi mchana,bd hawajui zama zimebadilika
 
Mtoa post acha akili za kizaman mkuu enzi hizo watoto wanaolewa hata kabla hawajajua mapenzi ni nn so anajitambua akiwa tayari ana ndoa afu ukichukulia enzi hizo mwanaume ndo kila kitu lakin kwa sasa mtu mpaka 30 inagonga hodi bado ndo kwanza anapambana awe na kwake na hawazi kuhusu mwanaume lakin bila kusahau mwili umeshaanza kuzalisha homoni za sex kwahiyo ni moja ya mahitaji yake.

anakaa nayo hiyo bikira ya nn ka sio ushamba mi nkikuta mwanamke miaka 30+ anabikira kwanza ntamshangaa sana yaani, na kusema ndoa itadumu kisa bikira ni ufinyu wa akili

ndoa za zamani zilidumu sio kwa sababu waliolewa bikira ila kwa sababu ya kutengeneza utegemezi na ndani ya nyumba mwenye kauli ni moja liwe mbaya au nzuri litafanyika tu na mwanamke hakuwa na namna ya kuishi peke yake

sasa siku hizi wote mnaongea na kama ni kuleta chakula nyumban wote mnaleta hata mwanaume asipokuwepo hakuna kitu kitalala kama ni watoto watasoma je ni mwanaume gani ataweza kuvumilia kubishana na mwanamke kisa tu ulimuoa na bikira, si pingani na ww ila hizi zama zinapingana na ww na mm sisemi bikira si muhimu ila..........
 
Mkuu pesa haiondoi Ujinga. Unaweza kuwa maarufu na mwenye utajiri lakini ukakosa akili. Mwanaume mwenye uelewa mpana hawezi fanya ujinga kama huo. Endelea kujipa moyo

Ujinga? From the mouth of which river? Akili kipimo chake ni kipi? Kama kuoa mwanamke bikra ndicho kipimo cha akili basi ndugu huu mjadala una walakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…