Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Labda ulegeze masharti, iwe Bikra iliyotolewa miaka 10 iliyopita 😅

Sharti ni aliyeoa mwenye Bikra au aliyeolewa akiwa na Bikra. Mbona sharti jepesi Mkuu. Au mtanisusia sherehe??
 
Mkuu una neno gani kwa wanaooa single maza? Yani sio tu kutooa bikra, ile ilioingiza na kutoa.

Natanguliza makofi
 
Mkuu una neno gani kwa wanaooa single maza? Yani sio tu kutooa bikra, ile ilioingiza na kutoa.

Natanguliza makofi

Hawan tofauti na waliooa wasio na Bikra. Sioni tofauti. Kila mtu abaki kwenye kundi lake. Simba ni Simba, fisi Acha aendelee kuwa msafisha mbuga
 
jamaa ameona kakosa kua kwenye spotlight ameamua kurudisha tena mada zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…