Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Habari za jumapili!

Kama kichwa kinavyojieleza, huu ni Mwaka wa 10 tangu nimemuoa MKE wangu niliyemkuta Bikra. Nilifunga ndoa 15 May 2013. Tangu nimemuoa huyu mtoto, ninakiri Mimi ni Mwanaume mwenye bahati kubwa. Kanuni iliyoniongoza ni kuoa Mwanamke Bikra, nafaidi matunda ya Kanuni Hii.
Nawakaribisha Vijana wote kwenye Bikra Festival Anniversary, wiki ijayo.
OA Mwanamke Bikra
Bikra ndio mpango, epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia.

Nawasilisha
Mkuu una neno gani kwa wanaooa single maza? Yani sio tu kutooa bikra, ile ilioingiza na kutoa.

Natanguliza makofi
 
Mkuu una neno gani kwa wanaooa single maza? Yani sio tu kutooa bikra, ile ilioingiza na kutoa.

Natanguliza makofi

Hawan tofauti na waliooa wasio na Bikra. Sioni tofauti. Kila mtu abaki kwenye kundi lake. Simba ni Simba, fisi Acha aendelee kuwa msafisha mbuga
 
jamaa ameona kakosa kua kwenye spotlight ameamua kurudisha tena mada zake
 
Back
Top Bottom