Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Bikra iliyotoka kwa mazoezi inajulikana, bado K itakuwa ina tight, wengi wenu mmetolewa Bikra kwa chips kavu za buku jero halafu makombo mnataka mtuchako bei kubwa. Kwanza nani kakataa kuwa provider? Mbona unahamisha mada?
 
Kikao kitafanyika wapi mkuu
 
Na wewe ukiwa nimmoja wao, wa hao unaowasemea kua hawataki kuoa mwanamke bikra?.
 
Ondoa hiyo scarcity mindset mkuu
Huwezi iondoa hiyo sababu ni uhalisia.

Unayetaka kumuoa alizungukwa na wanaume wa aina gani?
Kile kizazi cha walioitwa mafataki? Au kile kizazi cha hit and run? Tunapenda kutoa bikra na kutelekeza ila tunapenda tukiwa tayari tukutane na mwenye bikra.
 
Mzee wangu kigezo kikubwa cha Sisi WANAUME kutaka wanawake bikra ni kupata asilimia kubwa katika uwaminifu.

Mzee wangu hivi ushawahi kugongewa demu yani kujua Tu demu/mke wako anagongwa nje, maumivu yake unayajua Mzee wangu?
 
Hahaha umeongelea kuprovide kama ni kuanzisha uzi humu jukwaani, mkuu

Kwamba ukiamua tu kuprovide unaanza hata kesho.

Wanaume wengi wanaolilia bikra ni wasio kuwa na pesa. Wana inferiority complex kubwa sana ndani yao.
Mwanaume ambae ana provide kwa mwanamke ambae si mke wake huyo ni mpumbavu. Na mwanaume ambae ataoa mwanamke ambae sio bikra huyo ni mpumbavu zaidi.
 
Bikra iliyotoka kwa mazoezi inajulikana, bado K itakuwa ina tight, wengi wenu mmetolewa Bikra kwa chips kavu za buku jero halafu makombo mnataka mtuchako bei kubwa. Kwanza nani kakataa kuwa provider? Mbona unahamisha mada?

Uzuri mimi sio mwanamke kwa hiyo nimeignore the whole first part of your argument. Inachekesha 😀

Sio suala la kutaka ni suala la KUWEZA. Unaweza ukataka kesho kuwa Elon lakini unaweza?

Wanaume providers tu ndo inabidi watoe hiyo argument ya kutaka virgins. Most sio providers.

Hiyo hija ya mtoa mada angetoa mtu kama Waziri, au any top guy tungeelewa. Ukiangalia threadz za mtoa mada zinapishana.

Wengi wenu mnaotaka bikra hata hamjawahi kuexprience hiyo kitu
 
Mwanaume yeyote anayeoa mwanamke asiye bikra ni loser. Na huo ndio ukweli. Kama siyo bikra na haujaolewa pole. Losers ni wengi, usijali utaolewa tu.
 
Kuwala au kutokuwala hio sio shida yetu. Shida yetu ni kwa nini uoe mwanamke ambae sio bikra?. Mwanaume Mwenye kujielewa lazima aoe mwanamke bikra.

Hao wanawake hizo bikra wanaziondoa wenyewe au?

Sijawahi kukuona unakemea wanaume kulala na wanawake nje ya ndoa.

Kama wanaume ndo wanawaondoa wanawake bikra, kwanini unawalumu wanawake pekee?

You people are sick!
 
Mwanaume ana initiate suala la ngono kutimiza haja zake, lakini muamuzi wa mwisho kua ngono ifanyike au isifanyike ni mwanamke. Kama amekubali kubikiriwa ilihali anajua hataolewa na aliemtoa bikra huo ndio upumbavu zaidi.
 
Yes,

Mwanamke inabidi aolewe na mwanaume mwenye future.

Mwanaume inabidi aoe mwanamke mwenye past safi... bikra.
 
Bikra iliyotoka kwa mazoezi inajulikana, bado K itakuwa ina tight, wengi wenu mmetolewa Bikra kwa chips kavu za buku jero halafu makombo mnataka mtuchako bei kubwa. Kwanza nani kakataa kuwa provider? Mbona unahamisha mada?
Mtuchaji na siyo mtuchako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…