Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

kama ni wife material, mstaarabu huna hata ya kujiuliza hayo maswali mkuu, unless akiwa mtata anakusumbua, pia wewe ukikumbuka skirts ulizofunua inabidi utulie tu πŸƒβ€β™€οΈ
 
kama ni wife material, mstaarabu huna hata ya kujiuliza hayo maswali mkuu, unless akiwa mtata anakusumbua, pia wewe ukikumbuka skirts ulizofunua inabidi utulie tu πŸƒβ€β™€οΈ
Elewa kwanza utofauti kati ya mwanaume na mwanamke usiwalinganishe hawa ni viumbe wawili tofaut kabisa, mmoja anatumia akili na mmoja anatumia hisia.

Swala la mwanaume kufunua sket za kutosha lisilinganishwe na swala la kuoa asiye kua bikra hii ni ishu nyingine.

Body count hua inamuathiri mwanamke kisaikolojia ukilinganisha na mwanaume, ndio maana hata kwenye dini mwanaume anaruhusiwa kuoa wanawake wengi ila sio kwa mwanamke
 
Akili yangu inaniambia ni kweli lakini muda huo huo akili yangu inaniambia sio kweli.
Kwani mwanamke bikra anaweza akatulia kwenye ndoa lakini siku akikutana na kidume akamkunja kisawa sawa ndio itakuwa mwanzo wa kupanga foleni nadhan ukioa mke bikra unapaswa upige pum*u kweli kweli.
Lakini alieoa asiye bikra nae usimdharau kwani mwanamke anaweza kutulia kwa kuwa anajua hakuna kingne yote ni yale yale.
 
Mzee wangu kigezo kikubwa cha Sisi WANAUME kutaka wanawake bikra ni kupata asilimia kubwa katika uwaminifu.

Mzee wangu hivi ushawahi kugongewa demu yani kujua Tu demu/mke wako anagongwa nje, maumivu yake unayajua Mzee wangu?
Kwani bikra hawezi kukosa uaminifu?

Mbona mnatafuta majibu rahisi kwa maswali magumu?
 
Unakataa wewe sio mwanamke lakini unachoandika huwa wanaandikaga wanawake Mafeminist ,,single mothers,,Wasimbe,, Wadangaji nk

Sasa napata Tabu kuona mwanaume unaandika UJINGA huu. Any ways Dada Tumekusoma.

Akili za Wadada wadangaji Ndo zimewakilishwa na Paragraphs zako.

Wanahisi maisha ni ya kina elon na kina Bill nk.

Sisi wengine tusioweza kuwapeleka vacation kila mwezi Dubai sijui Paris sijui hotel kali sijui ndege na anasa nyengine wanaona kama vile Hatuishi bali tunalazimisha kuendelea kudumu Duniani.

Pesa na maisha ya Starehe ya Ulaya ndo vinawatesa sana Mabinti wanaharakati mwisho wa siku Wanakataa kutumikia Ndoa eti ni Utumwa lakini wanakubali kufanya mambo ya ajabu kama kuingiliwa kinyume na maumbile Ili mradi anunuliwe gari au apewe vacation Dubai.

Wanaishi maisha ya kujidhalilisha lakini wao ndio wanaona UHURU.
 
Kiranga acha uongo.

Hakuna mwanaume (mwenye akili timamu) asiyetamani kuoa mwanamke bikra.
Mtafute mwamba anaitwa Panyar Dit akupe story zake asivyoitaka bikra.

Tatizo huijui dunia wewe.

Unafikiri walivyo watu wa kijiji chenu ndivyo walivyo watu wa dunia nzima.

Ningekwambia usome hapa chini lakini sijui kama hii lugha unaielewa.

 
Hapo ndiyo linakuja suala la selfishness, bikra tunatolewa na nyie wenyewe, mnatulaghai kwa ahadi kedekede, mngekua mnasema ukweli mngeona kama mngetupata. Kuweni wakweli tujitunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…