financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
kama ni wife material, mstaarabu huna hata ya kujiuliza hayo maswali mkuu, unless akiwa mtata anakusumbua, pia wewe ukikumbuka skirts ulizofunua inabidi utulie tu 🏃♀️Kuoa asie bikra inauma huwezi elewa ndugu labda yakukute, angalia humu wengi wenye hasira na huu uzi wameoa wanawake used.
Aya umeoa mtumba wako uko ndani lazima tu kuna siku utajiuliza maswali mengi, kwanini sikumkuta bikra na je kashapitiwa na wangapi.