Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Nyingine za mtu anayefaa kuwa mke na mama bora.
So far bado haujapata mke na mama bora kama ulioa non-virgin

Huyo mkeo kwa past relationships alizopitia she is mentally, emotionally and sexually damaged. Hakuna mke hapo wewe ni mtu mzima nadhani umeelewa nilichosema hapo

Kwa nini umewachagulia watoto wako mama ambaye yeye mwenyewe alishindwa kuu-manage mwili wake to manage your kids?

Umefeli
 
Ukioa bikra, anabaki bikra milele?
Au inakupa guarantee gani huko mbele?
Ukweli ni kwamba kila mwanmke aliyeolewa akiwa sio bikra kuna mwanaume anayempenda zaidi ya mume wake

Kwa sasa unaishi na asiye bikra kwa sababu tu ameona kuna uhakika wa maisha kwako

Ila sio mbaya umeua ndege wawili kwa jiwe moja;

  1. Kwa sasa unamhudumia kama mkeo
  2. Huku akiwa na uhakika wa kutimiziwa sexual desire zake na mwanaume mwenye feelings naye
The last man she gives her body to for marriage is her retirement plan
 
Well and good, kuitwa majina malaya , used, mitumba na mengine ni kama vitu tulivyovizoea…. Kiasi kwamba haishtui tena
Mwanamke ambaye sio bikra hana cha kupoteza na mwili wake

Mwanamke ambaye amepoteza ubikira wake ni vigumu kuwa na sexual discipline

Maana alichokuwa anakitunza 'ubikira' ameshaupoteza hana cha kukupigania kwa sasa

Kwa hiyo kinachofuata hapo ni kumchanulia mapaja mwanaume yoyote na safari ya umalaya inaanza rasmi.

Kwa hiyo yeye huutendea mwili wake bila thamani na hajiheshimu, akiitwa malaya haoni ajabu wala kushtuka maana ni malaya kweli

Tofauti na ambaye ni bikra bado anauheshimu mwili wake na ana sexual discipline, possibility ya kumcheat mume wake ni ndogo ukifananisha na asiye bikra

 
Hii itawasumbua nyie waoaji na wapenda mapenzi..

Mimi pigo zangu ni zile zilizoshindikana, yaani lile lilio kubuhi linaelea elea ndio napita nalo,

Wewe mtu anayenunua demu riverside au kuchukua demu la baa, unamletea uzi kama huu??..

Huu ni ushauri unaowafaa wale wabinafsi wanaotaka kula wenyewe, sasa kama naingia napishana na mwenzangu mlangoni tena tunapeana tano vizuri nikiingia ndani lishangazi linasema nikaioshe kwanza , namzuia namuambi hivyo hivyo ndio tamu, utaniambia nini?

Huu ushauri unawafaa wale wanaopenda mapenzi sana, uwezo wa kuka miezi bila kudinya ninao, na siku nikishtuka ndio natafuta ligoma langu linalo elea elea..

Huu ushauri unawafaa wale peku peku na wakamia mechi wanaotaka kukubalika, mimi nikiridhika kama ni cha jogoo baaasi, as long sitarudi tena or it's just a business.

Huu ushauri unawafaa nyie waoaji kwa ajili ya sex,

NOTE : Kitukikubwa nilichodhamiria ni endapo nitao, kigezo kikubwa ni kupata mwanamke ASIYEPENDA SEX SANA, Hii kitu niliamua tangu nilipokutanaga na kitoto ambacho kiukweli ningekiweka ndani, ila kupenda kwake kudinyana kulinishinda,

Mwisho...
Hivi nyie mnaosema sikuhizi hamna bikra MNA AKILI KWELI? Hamna zimeenda wapi? Nani kazitoa?
Bikira zipo tena mpaka vyuo, baada ya hapo sina uhakika, wadada wa mpaka 22 wenye bikra wapo, hilo NINA UHAKIKA na USHUHUDA nao na ni pisi kweli kweli,, Ila zaidi ya hapo sina uhakika ila Pia nina imani wapo..
Usijifariji kindezi kisa wewe hujawahi ipata, ndio ujue mwenzako kaitoa.
 
Inaonekana mambo ya mapenzi umeanza kwenye utu uzima, una assumptions nyingi ambazo ungekuwa mtundu ukiwa kijana mdogo usingekuwa nazo.

Assumption kwamba bikira zinatolewa na wanaume wanaowapenda inaonyesha hujui unachoongelea, kwenye UMISETA tumezitoa sana, na wengi hata walikuwa hawatujui majina. Na kuna wengine zinatolewa na sexual violence etc.

But swali la muhimu ni baada ya kuoa na kumtoa huyo mkeo, inakupa guarantee gani zaidi ya kuboost ego yako? Watu wameoa bikra na wanagongewa kama kawaida.
 
Kama alishapoteza bikira huyo hakupendi ndio maana prize aliyokuwa nayo alimpa mwanaume mwingine.

Na kwa kuwa amepoteza bikira huyo tayari hana tabia nzuri. Unajua idadi ya wanaume aliotoka nao tangu abikiriwe?
Kwahiyo walioachwa wasiolewe huna akili wewe
 
Mimi mwenyewe ni sexually, emotionally and mentally damaged as nimeengage kwenge ngono kabla ya ndoa.

Kama unataka kupata kitu kizuri, anza wewe kuwa bora. I had multiple relationships before, kwanini nione mwenzangu ni scrap wakati mwenyewe sipo perfect?
 
Mkuu,
Umeona utumie silaha ya nyuklia kuua panya. 😂
 
Wewe ambaye mke wako ulimkuta bikra ukitoka home wanamfanyia halafu ukirudi nyumbani jioni unajikuta mwamba
 
Lengo turudi kwenye misingi ya tendo la ndoa kwa wanandoa pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…