Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wanawake wanaotaka wanaume wewe status kwani wao wanakuaga na status izo izo? Nyie ndio masimp ambao mmealibiwa akili na mfumo jike.Kwani wewe ni bikra hadi utake mabikra? This is but holier than thou. Ukitaka bikra jiulize kama wewe ni bikra.
Washirikishe wazee kwenye familia wakutafutie.Naona threads nyingi zinatukumbusha tuoe bikra.
Mimi ni kijana nimejitafuta. Kwa sasa nimejipata. Kipindi hicho wa kuvumilia shida zangu ilikuwa ngumu maana nilijaribu na nikashindwa. In short kwenye chain yangu sina mwanamke zaidi ya mama na ndugu zangu.
Kwa sasa niko single hapo nahitaji young and fresh woman (bikra).
Sasa nampataje?
Hapa mjini uongo, huko bush nitokako nako hapasomeki!
Naombeni techniques
Asante mkuu.Washirikishe wazee kwenye familia wakutafutie.
Ulitaka kusema nini mwanangu? Unajua ulichoandika hapa?Wanawake wanaotaka wanaume wewe status kwani wao wanakuaga na status izo izo? Nyie ndio masimp ambao mmealibiwa akili na mfumo jike.
Sijui nini kimetokea mpaka wanaume mmezidiwa akili kiasi hiki na wanawake. Mwanamke hata akiwa malaya anaamini atampata tu mwanaume na kufanya nae maisha lakini masimp kama nyie mkiambiwa muoe bikira visingizio kibao ooh kwani wewe bikira, utampata wapi bikira.
Vice versa mkuuNi tandale ipi hiyo mbona nimekaa sana hiyo mitaa na sikuwapata
Mapambano ni makaliZombie apocalypse uzi ukafufuka
Kwani umekasirika??😄Wanawake wanaotaka wanaume wewe status kwani wao wanakuaga na status izo izo? Nyie ndio masimp ambao mmealibiwa akili na mfumo jike.
Sijui nini kimetokea mpaka wanaume mmezidiwa akili kiasi hiki na wanawake. Mwanamke hata akiwa malaya anaamini atampata tu mwanaume na kufanya nae maisha lakini masimp kama nyie mkiambiwa muoe bikira visingizio kibao ooh kwani wewe bikira, utampata wapi bikira.
Vice versa mkuu
Wee hamna bikra hapa ni mwendo wa breki pumbuz tuu 🤣🤣🤣🤣Naona threads nyingi zinatukumbusha tuoe bikra.
Mimi ni kijana nimejitafuta. Kwa sasa nimejipata. Kipindi hicho wa kuvumilia shida zangu ilikuwa ngumu maana nilijaribu na nikashindwa. In short kwenye chain yangu sina mwanamke zaidi ya mama na ndugu zangu.
Kwa sasa niko single hapo nahitaji young and fresh woman (bikra).
Sasa nampataje?
Hapa mjini uongo, huko bush nitokako nako hapasomeki!
Naombeni techniques
Leo atalia sana huyu mtumbaView attachment 3150620
Una hoji kama huyu mwamba😂
Haki inapototea sababu waoaji wengi wanaoa madanga yao.Kimsingi Mwanaume akioa anayohaki na wajibu wa kuuliza habari ya Ubikra kwa mwanamke amuoaye. Mwanaume anayohaki ya kumwacha mwanamke kwa kigezo cha kutokukuta bikra kwa mwanamke.
Hata huko kanisani mchungaji hapaswi kuiita ndoa takatifu afungishapo ndoa ikiwa anajua fika waoanaji walitenda kosa la kitandani.
Hivi unadhani ile habari ya nani Baba kamili wa Patrick ingekuwa tatizo endapo Bwana Peter angemuoa Muna akiwa Bikra. Mambo mengine ni kujitakia tuu.
Mwenyewe umechonga miamba mingi na kuitelekeza ili wengine watumbukie.huu uzi wanawake wana ogopa kuchangia. uanzishwe mjadala wa kitaifa kuhusu hii kitu watu tuna tumbukia kwenye miamba walio chonga wengine
Cha muhimu aondoe scarcity mindset bikra wapo
Dereva wa gari anapenda kumiliki/kununua zero kilometres. Ila gari lenyewe linakuwa salama likiendesha na dereva aliyeendesha magari mengi. Akili kumkichwa, unatufelisha Grim😂Watu wana defense mechanism aiseee, (eti kwani we ni bikra).
Usidanganywe mkuu bikra ni mwanamke ndo anakatwa utepe sio mwanaume we tafta bikra kitu zero kilomita, weka ndani ufurahie maisha.