Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Umeandika ila hujasema kitu kwa maandisgi yote hayo,
Umeoa?
Na kama umeoa ulilala na mwanamke wako kabla ya kuoa ukajua ni bikira?
Ama baada ya kushiriki nae ukaoa used?
Ama ulinunua mbuzi kwenye gunia ukabahatishe kama kweli ni mbuzi na akawa mbuzi?
 
Umeandika ila hujasema kitu kwa maandisgi yote hayo,
Umeoa?
Na kama umeoa ulilala na mwanamke wako kabla ya kuoa ukajua ni bikira?
Ama baada ya kushiriki nae ukaoa used?
Ama ulinunua mbuzi kwenye gunia ukabahatishe kama kweli ni mbuzi na akawa mbuzi?
Sijaona bado nazichakata mbusus ila nilikutana na bikra nitaioa
 
Mleta uzi ana oja! Hapa mtaani nimekuja kugundua zaidi ya 70% wake zao wamekuja na watoto zao katika ndoa zao! Ikiwa na maana wanaume walioa second hand used scrapper from Japan ! Inasikitisha!
 
Njoo geto sista utengeneze akili yangu kama haipo Sawa,
Kwani hao wanawake wanabakwa? Si wanajipeleka magetoni na chupi wanavuka wenyewe?

Sasa unapanic nini mkuu? Em relax. Ka jinga πŸ˜‚

We tafta hela. Hautapata muda wa kuanzisha nyuzi za hivi, i can assure you.

Acha kujikuta umekunywa red pill umekuwa Andrew Tate.

Wenzako wale wanafanya zile content kutengeneza pesa na ku-influence maboya kama wewe ambao mnadhani mwanamke hana bikra anakuwa kilema.

Nimekuuliza swali. Una umri gani.

Jitahidi kutoa your answer bila tusi
 
Kuwa uone mambo, utakuja elimika. Kwa sasa nakwambia kitu kimoja tu bikra sio kila kitu katika maisha ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…