Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wanaume wenzangu mnawezaje kuoa mwanamke alikwishatumika? Uwa nawaza sana ni kwamba huyo uliemuoa used ni ana hela sana? Au mzuri sana kiasi kwamba unaachaje mali mpya unanunua used??? Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"
Tatizo unakuta wewe ukishawatumia wanakuwa wanachanganikiwa na kuwaza nani atakuja kuwao baada ya kutemwa na wewe, wakishindwa kupata majibu ndipo wanaturoga ili tuwaoe.
 
"Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"

Hi aya inatosha kabisa kujua umri wako busara na jinsi unavyochukulia mambo , vingine vyote upo sahihi sana mkuu.
Uuuuwwwiiiiiiiiiiiii
 
Zanzibar watu wanaoa sana bikra ila naona ndio sehemu inayoongoza Kwa taraka
Hakuna mabikra Zanzibar, mabinti wengi wa kule wanaliwa madrasa na walimu wao....wakiwa wanakaribia kuolewa kuna dawa wanakunywa kubana papuchi ili wakiolewa waonekane wako mabikra. Usiamini mademu wanaojisitiri, wengi ni majambazi tu, wanadanganya wajinga.
 
Mimi huwa sipendi kuunga mkono mambo ya bikira kwa sababu sijui historia ya ndugu zangu ninao waheshimu.

Unaweza ukatukana hapa alafu ukajilaani, wewe sema tu naunga mkono hoja.
 
"Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"

Hi aya inatosha kabisa kujua umri wako busara na jinsi unavyochukulia mambo , vingine vyote upo sahihi sana mkuu.
Boss wapi sku hizi upo kimya sana mzee baba dingi kijana
 
Mkuu mbona makasiriko sana au mshale wa mtoa mada umekupiga kichwani?.
😋😋
images.jpeg
 
Humu kuna vituko balaa unakuta mtu anakaribia umri wa niagieni na bado anaongelea bikra kama sio pedophile ni nini duuh.
 
Sasa ujue inakua hivi mimi binafsi spend kudate mtu mwenye 25 plus and above sababu ya mileage zao na matendo

Ila Tukija kwa dogo dogo below 25 wanafantasy sana wanawaza mwanaume fulani wa kufirika, they need to be played first, sasa mzee mm katika pita pita nikaona hii mama, mawazo yapo kwa mtoto Ina maana ana jitambua basi nikarequest
weeee, basi tuko tofauti mimi napenda makongoro wenzangu wana utamu wake + experience, mkiwa sita kwa sita anajua nini anatakiwa kufanya
 
Wanaume wenzangu mnawezaje kuoa mwanamke alikwishatumika? Uwa nawaza sana ni kwamba huyo uliemuoa used ni ana hela sana? Au mzuri sana kiasi kwamba unaachaje mali mpya unanunua used??? Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"
Unahisi ndoa ni kufanya mapenzi tu utoto unakusumbua ukikua utaacha
 
Wapo wanaovuka wigo wa mwiko na kuoa waliozalishwa kabisa,yaani mwanaume mwenzako ameloweka mpaka ametoa copy wewe kama zuzu unaenda kubeba scraper unaweka ndani unaita “mke”?
Duh watu mna maneno makali! as if utapata watoto wa kike
 
Back
Top Bottom