Mimi Nina singo maza Wangu na mdogo kwangu me 34 yeye 21Duh watu mna maneno makali! as if utapata watoto wa kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Nina singo maza Wangu na mdogo kwangu me 34 yeye 21Duh watu mna maneno makali! as if utapata watoto wa kike
Pole kwa kuoa usedUnahisi ndoa ni kufanya mapenzi tu utoto unakusumbua ukikua utaacha
Na ndio hao unaowaona wakitukana kwenye nyuzi kamabhiziWapo wanaovuka wigo wa mwiko na kuoa waliozalishwa kabisa,yaani mwanaume mwenzako ameloweka mpaka ametoa copy wewe kama zuzu unaenda kubeba scraper unaweka ndani unaita “mke”?
Bikra ni bikra tu hamna mbambambaMimi huwa sipendi kuunga mkono mambo ya bikira kwa sababu sijui historia ya ndugu zangu ninao waheshimu.
Unaweza ukatukana hapa alafu ukajilaani, wewe sema tu naunga mkono hoja.
Ni kweli!wakishafanikiwa TU wanatuanzishia vituko vikuu kuu hadi tunawaachia miji!Tunarogwa!
Pole yaoNaonaa watu wengi wamekasirishwa na post ya mtoaa madaa
Brand new ni hatari zaidi kitu unatoa na Ganda lakeSpea used inadumu sanaaa.
Elewa neno spea
Asante bloo kwa kunielewani kwel mkuu naunga mkono hoja
Watajitoa ufahamu na kujifanya hawajui diniMzee wa upako alishasema ukioa mwanamke ambae sio bikra jua umeoa mke wa mtu 🤣
Walengwa wakamuandama na kusema ati ni mlevi
Sista rejea kwenye mada husikaHumu kuna vituko balaa unakuta mtu anakaribia umri wa niagieni na bado anaongelea bikra kama sio pedophile ni nini duuh.
Kuna bloo anajiita MsAsante bloo kwa kunielewa
Kwa hiyo kuoa bikra ni ushamba au sijaelewaYani we ni mshamba kweli halafu lazima utakua bwabwa
Mnajifariji 🤣🤣🤣🤣🤣ndoa ni zaidi ya mwanamke bikra
Hii ndio point yenyewe mwanawane. Warembo breki mbupuz hawataki kusikia huu ukweliNasapport mada mwanaume unatakiwa uoe mwanamke bikra, usioe wazinzi na waasherati
Dah,Wanaume wenzangu mnawezaje kuoa mwanamke alikwishatumika? Uwa nawaza sana ni kwamba huyo uliemuoa used ni ana hela sana? Au mzuri sana kiasi kwamba unaachaje mali mpya unanunua used??? Kila nikiwa kwenye mahusiano na demu kimoyo moyo wakati wa show uwa najisemea "huyu mpaka akaolewe si atakua kaishatumika sana? Na uwa nawakaza sana kila style ili mabwege yaje kuoa used"
Wanapita kimya kimyaHii ndio point yenyewe mwanawane. Warembo breki mbupuz hawataki kusikia huu ukweli
Kuna mjomba mmoja mpangaji mwenzangu, ana mke mdogo kweli yaani ( 22+) naamini yule mke alimuoa bikra maana kwanza ana adabu na hana mambo mengi yeye ni mama wa nyumbani tu.Dah,
Na ujue kadri unavyozidi kuchelewa kuoa wa kwako ndivyo anavyozidi kuchakazwa sana huko. Ikifika muda wa kuoa utaoa tu aliyepigwa pipe sana maana bikra hawapatikani