Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Tatizo unakuta wewe ukishawatumia wanakuwa wanachanganikiwa na kuwaza nani atakuja kuwao baada ya kutemwa na wewe, wakishindwa kupata majibu ndipo wanaturoga ili tuwaoe.
 
Uuuuwwwiiiiiiiiiiiii
 
Zanzibar watu wanaoa sana bikra ila naona ndio sehemu inayoongoza Kwa taraka
Hakuna mabikra Zanzibar, mabinti wengi wa kule wanaliwa madrasa na walimu wao....wakiwa wanakaribia kuolewa kuna dawa wanakunywa kubana papuchi ili wakiolewa waonekane wako mabikra. Usiamini mademu wanaojisitiri, wengi ni majambazi tu, wanadanganya wajinga.
 
Mimi huwa sipendi kuunga mkono mambo ya bikira kwa sababu sijui historia ya ndugu zangu ninao waheshimu.

Unaweza ukatukana hapa alafu ukajilaani, wewe sema tu naunga mkono hoja.
 
Boss wapi sku hizi upo kimya sana mzee baba dingi kijana
 
Humu kuna vituko balaa unakuta mtu anakaribia umri wa niagieni na bado anaongelea bikra kama sio pedophile ni nini duuh.
 
weeee, basi tuko tofauti mimi napenda makongoro wenzangu wana utamu wake + experience, mkiwa sita kwa sita anajua nini anatakiwa kufanya
 
Unahisi ndoa ni kufanya mapenzi tu utoto unakusumbua ukikua utaacha
 
Wapo wanaovuka wigo wa mwiko na kuoa waliozalishwa kabisa,yaani mwanaume mwenzako ameloweka mpaka ametoa copy wewe kama zuzu unaenda kubeba scraper unaweka ndani unaita “mke”?
Duh watu mna maneno makali! as if utapata watoto wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…