Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wanapita kimya kimya
Wataongea nini hawa kenge🤣🤣🤣
Wao wanasubiria mada ambapo wanaweza sema "tafuta hela wee mwanaume" 🤣🤣🤣
Hapo utawaona wavavyo bwabwaja maneno
 
Yaani Kidume kizima umekaa Kabsaa unaandika kwamba wewe ni mzinzi!!!, Pamoja na yote ukichezea mabinti za watu na wa kwako watachezewa , kwahy hatuna hofu na Hilo, used wataendelea kuwepo Hadi kwenye familia Yako.
Mweeeeee!!!
 
ako ka usemi n mda mrefu umechelewa kukajua,,tupo tayari tuweke hata chill/tomato,rangi yoyote red coz kuna wale tomaso
Nilishqngaa wa kwangu kujiliza Liza Kila mara kuumwa nikaona ili ni bomu nikapiga chini
 
Na vipi Kama ukija kuchapiwa ndani ya ndoa, hiyo bikira itakuwa na maana gani ?

Au utaendelea kujifariji kwamba bado ni mke wako.
ni sawa na mwanamke hata akiachika atabaki kusema nilishawahi kuolewa kwaio sasa ndoa sitaki tena ila ni hana soko tena,,,,, kwaio na kijana wetu atasema nishawahi kuoa bikira..........
 
Na vipi Kama ukija kuchapiwa ndani ya ndoa, hiyo bikira itakuwa na maana gani ?

Au utaendelea kujifariji kwamba bado ni mke wako.
Kwani hiyo mitumba haichepuki? Kwa taarifa yako mitumba inayojua kila size ya mashine ndio inaongoza kuchepuka kuanzia kwa ma X wake mpaka walio mbikiri tofauti na uliemuoa akiwa kajitunza!
SHTUKAA KAMA ULIOA MTUMBA JIKAZE TU DOZI IKUINGIE
 
ni sawa na mwanamke hata akiachika atabaki kusema nilishawahi kuolewa kwaio sasa ndoa sitaki tena ila ni hana soko tena,,,,, kwaio na kijana wetu atasema nishawahi kuoa bikira..........
Wewe utasema Weeee utaliaaa unanichukia Weee ila kaa ukijua bikra ana thamani sana tofauti na mitumba kama wewe mliojaa shahawer ya kila aina ya mwanaume mwisho wa siku mnazaa mtoto mataahira
 
Wewe utasema Weeee utaliaaa unanichukia Weee ila kaa ukijua bikra ana thamani sana tofauti na mitumba kama wewe mliojaa shahawer ya kila aina ya mwanaume mwisho wa siku mnazaa mtoto mataahira
Jesus save this child 🙆🏾‍♀️,,ila usijali utapona.
 
Kwani hiyo mitumba haichepuki? Kwa taarifa yako mitumba inayojua kila size ya mashine ndio inaongoza kuchepuka kuanzia kwa ma X wake mpaka walio mbikiri tofauti na uliemuoa akiwa kajitunza!
SHTUKAA KAMA ULIOA MTUMBA JIKAZE TU DOZI IKUINGIE
Sasa Kama unajua kuna suala la kuchepuka, maana yako kubwa ya kukazia mambo ya bikira ni nini ?

Acha mbambamba mwenyewe.

Nijibu vizuri hapa tuelewane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…