Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Naisubiri hiyo neema

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake wasio na bikra na walioolewa bila bikra inawakera hii. Wanakuona mtoa mada kama ana akili za kipumbavu eti.[emoji16][emoji16][emoji16]



Ukweli ni kwamba

Bikra ina heshima hata Mungu aliithamini akamtunza yesu


Mwanamke bikra huwa hajui habari ya vibamia


Mwanamke asiye bikra hachelewi kukulinganisha na watangulizi wako


Mwanamke bikra ni ishara kuwa alijitunza sana na wengi huwa na heshima sana Fanya tafiti unayepinga hili .


Wengi walioolewa pasipo bikra ndio wanaoongoza kwa kumshambulia mtoa mada



Ivi nyie wanawake huwa hamjiulizi kwa nini mwanaume tunaongoza kwa kuulizia hizo bikra zenu ..


Eti unauliza kama mwanaume ana bikra wapi uliona mwanaume ana hymen



Poleni sana ndo maisha Dada zangu
KAKA UMEGUSA PENYEWE... HATA WANAUME WANAOZIPONDA BIKRA... NI KWAMBA WALIOWAOA SI BIKRA... SO HAJUI KAMA ANARUDIGI KWA JAMAA ALIYEMBIKIRIA WIFE WAKO KUPASHA KIPORO AU LA...
 
Mkuu unisamehe kama nimeingilia personal stuff, kwahiyo ulimkuta mama chanja hana bikra ukaamua kuoa hivo hivo, nini kilikufanya usiendelee kuonja onja ili ukutane na bikra? Ulikuwa unaharaka ipi?

Hivyo mnaingia kwenye ndoa kujishikiza tu, ni kwanini watu hushangaa ndoa kutodumu ikiwa wenye kuoana huingia kujishikiza tu? Nachelea kusema mnaishi katika jehanamu na fukuto kuu kama mliingia kujishikiza tu, na kwanini mchague jehanamu ikiwa ungeweza kutafuta zako bikra na ukaipata ukaishi peponi, huoni mkuu ulifanya maamuzi yasiyo sahihi kwa makusudi kabisa?
ukitamani kujenga ghorofa la likakushinda hata banda jenga ujilaze
 
Blaza ukiona mwanaume poVu linamtoka ujue hajawapata kuoa bikra... Kwahiyo karoho kanamuuma anajifariji... Na mwanamke akiwa anabisha vile vile aliyemtungua bikra sio ndio aliyemuoa...
Hapa umemaliza
 
Uzur mwanamke bikra ukimpa show za kawaida tu anakuona we Mkali kinoma

Na hana ule msamiat Wa kibamia kwa kifupi hana Wa kuku compare
Ndo mana neno kibamia ni maarufu zama hizi... Kwa sababu mwanamke mpaka anakuja kuolewa... Amekutana na kila design ya wanaume... Lakini bikra... Hawezi jua kama kuna kibamia...
 
Weee alokwambia Hana wa kukucompare nae nanii??? Labda kama haangalii porn na Hana marafiki wa kumspoil... Aalafu Kibamia hakifichichiii mkuu kisaa umeoa bikra eti ndo mkeo hawezi juaa kidude ni kidogo.. no way
Tofautisha kuona kusikia na kufanya practically
 
Tofautisha kuona kusikia na kufanya practically
Sasa ambae kaona ndo anashawishika zaidii kufanyaa na Ana hamu zaidiii mkuuu...! Tena Kama ushamfungua njia na hujiwezi aisee hiyo ndoaa itavunjikaa tuu.


Boraa aliezoee dyudyu hataona jipyaaa. Ogopa Bikra akijanjarukaaaa ndani ya ndoa wee...
 
Kuna ukimwi mkuu utaonjaa mpaka lini?? Labda uoe mtoto wa miaka 20 hivi kwa bahati piaa hapo sawaa....

Sasa majuto yanatokea wapi ikiwa ulioa bila kushurutishwa kwa kukosa hizo bikra kwasababu wanaozitunza siku hizi wapo wachache sana.
 
Vocha? Una safari ndefu ya kwenda mkuu kaza, kwa hakika wanaokufaa ni wa aina fulani hivi maana ndio wanaotaka vocha katika ulimwengu huu na mtoa vocha ndio wewe.

Kuhusu ndoa kila la heri, nimeolewa miaka kadhaa iliyopita unless umenifahamu humu leo.


Ngoja nikaze ila ukweli ndio huo
 
Sasa majuto yanatokea wapi ikiwa ulioa bila kushurutishwa kwa kukosa hizo bikra kwasababu wanaozitunza siku hizi wapo wachache sana.
Kwa Mimi binafsi hata watu waseme ninii...BIKRA sio kigezo cha kunishawishi nimuoe mwanamke...nikimpenda hata Kama sio bikra naoaa...Siwezi kesha miaka kibao natafuta Bikra no way...! Nikibahatika kupata mwenye bikra bhasi vizurii...
 
Yaani mi wala sijali maana wanaoolewa siku hizi 95% hawana bikra. Sio kitu kinachoumiza akili maana tunaolewa bila shida yoyote.

Kwa hiyo nini hitimisho lako?
 
Sasa ambae kaona ndo anashawishika zaidii kufanyaa na Ana hamu zaidiii mkuuu...! Tena Kama ushamfungua njia na hujiwezi aisee hiyo ndoaa itavunjikaa tuu... Boraa aliezoee dyudyu hataona jipyaaa...Ogopa Bikra akijanjarukaaaa ndani ya ndoa wee...
We unataka kuniambia mtu aliyezoea dushe utamtuliza wewe kila akimkumbuka kuna Jamaa walishamuumiza aliwish kuwa nao Moja kwa Moja majamaa walirudi au wengine Wa kufanana nao lazima wakumbushie tu

We unachezea memory moment za ma ex nin?

Mzee hako ka theory ka kumtuliza mwanamke kicheche katakuja kukutokea puani uje ufungua Uzi kuomba ushaur,kunguru hafugiki
 
Mwanafunzi kutokuelewa ni kosa la mwalimu? Mimi namaanisha kukosa bikira haimaanishi sifa za kuwa mke ndo zimeisha, na pia si akiwa na bikira ni tiketi ya kuwa na haki zote za kuitwa mke mwema, au mkuu huelewi maana ya moja wapo? Na pia unielewe vizuri mm sipingani na unachokipinga chote ila ninachokipinga ni kusema kama mwanaume hajaoa bikira basi hana akili yaani bikira ya mke ni kipimo cha uwerevu wa mwanaume hapo na kusema mwanamke kuwa na bikira anahaki na ndoa siyo kweli pia ila kuhusu bikira sikupingi kuwa ni muhimu na kweli kila mwanaume anatamani aoe bikira lakin haitoshi pekee yake na kama isivyotosha pekee yake basi pia haitoshi kuwa sababu ya mwanamke kukosa ndoa kama anasifa zingine ambazo mwanaume anazihitaji yaani ni sawa na mwanafunzi mwenye 90 na mwenye 85 wote wamefaulu ila tukihitaji the best basi ni mwenye 90,mwanamke mwenye bikira+sifa zingine atamzidi asiyekuwa nayo lakin mwanamke mwenye bikira afu sifa zingine hana atazidiwa na mwenye sifa zingine zote ila bikira hana,ambapo kwa maelezo yako upo tofauti,ww umemaanisha kuwa na bikira basi ni sababu ya mia mia kuwa anafaa na asipokuwa nayo anaolewa na mwanaume mjinga


Sawa mkuu. Mpe salamu shem kwa kupata Neema
 
Ukishasema zamani basi ushakuwa nje maana kwa zama zile mwanamke kufika 20 hajaolewa kiukweli watu wataanza kufikiria tofauti na mwanaume kufika 30 bado hajaoa pia kuna walakini ila kwa siku hizi mwanamke 20 ndo kwanza yupo bize na elimu ndoa hata akilini haipo,zama mwanamke anasubiria akue aolewe basi lakin sahiv naye anatafuta maisha,zaman mwanaume ni kupewa na ngombe umri ukfika anaanza familia je sahiv ipoje, so sidhan kama wanawake walikuwa waaminifu sana kuliko wa sasa ila mazingira yaliwasaidia sana
we jamaa hivi utunzaji wa bikira kwa wanawake na kutumia mda mwingi kusoma vinahusianaje? alafu unaposema wanawake wa zamani na wasasa ni tofauti kwani wao hawakuwa na sexual passion kama hawa wa leo? na naweza sema wanawake wazamani kumbe ndio walikuwa waaminifu kuliko wa sasa kutokana na maelezo yako.

Hivi kama wanawake wa sasa wako busy katika elimu sasa mda wa kutolewa bikira zao kipindi wadogo au kabla ya ndoa wanapata wapi na wazamani mbona hawakuwa busy na waliweza tunza bikira zao hivi undhani yupi yupo kwenye changamoto kutokana na maelezo yako?
 
We unataka kuniambia mtu aliyezoea dushe utamtuliza wewe kila akimkumbuka kuna Jamaa walishamuumiza aliwish kuwa nao Moja kwa Moja majamaa walirudi au wengine Wa kufanana nao lazima wakumbushie tu

We unachezea memory moment za ma ex nin?

Mzee hako ka theory ka kumtuliza mwanamke kicheche katakuja kukutokea puani uje ufungua Uzi kuomba ushaur,kunguru hafugiki
Nakwambia alieziozea na ukamridhishaa hataonaa jipyaa...! Wanawake ni tofauti na wanaume mkuu.

Mwanamke anaweza fariki mumewe na sioleweee tenaa... Yani wao wanatabia ya kusema hakuna kipya yotee nishayajua acha nituliee...tofauti na wanaume
 
No hard feelings mkuu. Lakini hujafanikiwa kunionesha ubaya niliouliza.. Wengi mnadai huo ndio ukweli lakini hamuelezi ni kivipi huo ni ukweli? Ni hisia au facts? Kama ni hisia kila mtu ana za kwake kama ni fact tutafute mlengo mpya wa discussion maana ni hisia tupu.
Labda nikuulize ki2,, una mtoto wa kike ambaye hajafikia kuolewa, then anakwambia "mama leo nimetoa bikra"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] reaction yako ya kwanza itabase kwenye ubaya au uzuri??? ukijibu hili swali utakuw umeelewa kwamba facts zinatokana na hisia na maono...[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom