DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Kama hii wanapita afu zingine tena za kipuuz wanachangia itakua imewagusa tu[emoji23][emoji23][emoji23] Wengi wanapuuza tu wakikuta mijadala kama hii wanapita kimya kimya hawataki kukereka au pengine wanaona hakuna umuhimu wowote kuargue na mtu mzima alochagua msimamo wake binafsi ikiwa wao hauwaathiri na hujawahi kuwaathiri kwasababu kila siku mitaani wanaolewa kwani bikra wale?
Mi nimeamua tu kuchangamsha kijiwe. Tusiwe na upande mmoja wa fikra kama samaki.