Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

[emoji23][emoji23][emoji23] Wengi wanapuuza tu wakikuta mijadala kama hii wanapita kimya kimya hawataki kukereka au pengine wanaona hakuna umuhimu wowote kuargue na mtu mzima alochagua msimamo wake binafsi ikiwa wao hauwaathiri na hujawahi kuwaathiri kwasababu kila siku mitaani wanaolewa kwani bikra wale?

Mi nimeamua tu kuchangamsha kijiwe. Tusiwe na upande mmoja wa fikra kama samaki.
Kama hii wanapita afu zingine tena za kipuuz wanachangia itakua imewagusa tu
 
Hakuna raha kama kumkuta demu bikra afu namfundisha mapenzi Mimi
Hiyo ndo rahaa lakini Vipi kama yeye mvivu na hataki hayo mambo??? Kuoa sio shida piaa.. shida kumpataa...Niliwahi pata demu mkali Sana bikra lakini cha kushangaza akawa anataka kunipaa 0714 ili mradi bikra yake ibakii...
 
Kwa kukubali huu ukweli Mkuu umetisha,

Salute
Ofcoz maana Kama ashawahi pita jamaa na akampa show kalii kukuzidi atarudi tu kwa mwana siku mojaa wakumbushiee...! Ilaa kama unampa show best hawezi rudi kulee kwa zamani
 
Hiyo ndo rahaa lakini Vipi kama yeye mvivu na hataki hayo mambo??? Kuoa sio shida piaa.. shida kumpataa...Niliwahi pata demu mkali Sana bikra lakini cha kushangaza akawa anataka kunipaa 0714 ili mradi bikra yake ibakii...
Unaweza pata demu hana bikra zote na mvivu pia bila kusahau anatoa ndogo pia,hapo vipi
 
Bikira ina umuhimu wake...kwanza inakupa confidence.!!inakupa kujiamini...kuwa wew ndo wa kwanza...!!huna presha na mpuuzi aitwaye X

ila ukichukua nungaembe unaishi kwa presha...hujiamini....!!maana kama sio bikira lazma utagongewa tu..!!

Najua waliotolewa bikira na hawana ndoa itawauma...ila ndo ukweli

Hao waliopo kwenye ndoa ndo mashahidi.....si mke c mume...!!wanaishi kwa majuto
Mkuu kuna ndoa nyingi tu ambazo zimetulia na hawakuoa mabikira na kunafuraha za ajabu
 
Wanawake wasio na bikra na walioolewa bila bikra inawakera hii. Wanakuona mtoa mada kama ana akili za kipumbavu eti.[emoji16][emoji16][emoji16]



Ukweli ni kwamba

Bikra ina heshima hata Mungu aliithamini akamtunza yesu


Mwanamke bikra huwa hajui habari ya vibamia


Mwanamke asiye bikra hachelewi kukulinganisha na watangulizi wako


Mwanamke bikra ni ishara kuwa alijitunza sana na wengi huwa na heshima sana Fanya tafiti unayepinga hili .


Wengi walioolewa pasipo bikra ndio wanaoongoza kwa kumshambulia mtoa mada



Ivi nyie wanawake huwa hamjiulizi kwa nini mwanaume tunaongoza kwa kuulizia hizo bikra zenu ..


Eti unauliza kama mwanaume ana bikra wapi uliona mwanaume ana hymen



Poleni sana ndo maisha Dada zangu
 
Unaweza pata demu hana bikra zote na mvivu pia bila kusahau anatoa ndogo pia,hapo vipi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyo mpaka anatoa ndogo aisee lazima atakuwa fundi...Ila Kama ya mbele ipoo lazima atakuwa gogoo tu
 
Ofcoz maana Kama ashawahi pita jamaa na akampa show kalii kukuzidi atarudi tu kwa mwana siku mojaa wakumbushiee...! Ilaa kama unampa show best hawezi rudi kulee kwa zamani
Uzur mwanamke bikra ukimpa show za kawaida tu anakuona we Mkali kinoma

Na hana ule msamiat Wa kibamia kwa kifupi hana Wa kuku compare
 
Bikra kuoa ni matesoo maana hata show zenyewe hajuii zinaenda vipi na wewe ukute ushazoea Show za mauno ya ukweli na Kukunjanaa hasaa... Aisee utaishi kuchepukaa tuu na hapo ndo litakuwa tatzo maana na mkeo nae ataazna kuonja nje kulipa kisasi... Sioni maana ya kuoa mwanamke ambae kitandani hakupi show nzuri ambayo inakuridhishaaa... Ndo maana kuna wadada ushawahi sex nao yani hukutamani hata kurudiana nae maana uvivu na kujidai hapendi show kalii... Mdada mwenye show mbovu hata kuachana nae sijiulizi na siumiii kabisaa...tena ukute show mbovu na anapenda helaaaa..
Hata huyo uliyemkuta sio bikra alifundishwa...SASA UTASHINDWAJE KUMFUNDISHA BIKRA WAKO KUKUPA SHOW ZA KIBABE...?
 
Hata huyo uliyemkuta sio bikra alifundishwa...SASA UTASHINDWAJE KUMFUNDISHA BIKRA WAKO KUKUPA SHOW ZA KIBABE...?
Sasa mzee ushazoea wanaotoa show za kibabe kuaza kufundishana na MTU mwenywe ukute hafundishikii oohoo
 
Uzur mwanamke bikra ukimpa show za kawaida tu anakuona we Mkali kinoma

Na hana ule msamiat Wa kibamia kwa kifupi hana Wa kuku compare
Weee alokwambia Hana wa kukucompare nae nanii??? Labda kama haangalii porn na Hana marafiki wa kumspoil... Aalafu Kibamia hakifichichiii mkuu kisaa umeoa bikra eti ndo mkeo hawezi juaa kidude ni kidogo.. no way
 
utake bikra wakati huo na wewe bikra au umechakachuliwa tayari.
Maskini umejibu kinyonge kweli

Labda nkukumbushe hakuna mwanaume bikra,jilaumu kwa kuigawa hii zawad adhimu kwa mumeo kabla ya ndoa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi sina hasira ila najaribu tu kuuchanganua ukweli, kama alivyochanganua mtoa mada na watu wakadhani anatukana.. Binadam ni kiumbe mwenye utashi ndio maana kapewa mamlaka ya kumiliki dunia.. utakua unadanganya kama hutoona kama kufanya uzinzi ni ubaya..
Na pia hapa hoja ndizo zinazobishana kama utaona hoja zangu zinaingia in ur personal life nakuhakikishia halikuw lengo langu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

No hard feelings mkuu. Lakini hujafanikiwa kunionesha ubaya niliouliza.. Wengi mnadai huo ndio ukweli lakini hamuelezi ni kivipi huo ni ukweli? Ni hisia au facts? Kama ni hisia kila mtu ana za kwake kama ni fact tutafute mlengo mpya wa discussion maana ni hisia tupu.
 
Back
Top Bottom