Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Naisubiri hiyo neema

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
KAKA UMEGUSA PENYEWE... HATA WANAUME WANAOZIPONDA BIKRA... NI KWAMBA WALIOWAOA SI BIKRA... SO HAJUI KAMA ANARUDIGI KWA JAMAA ALIYEMBIKIRIA WIFE WAKO KUPASHA KIPORO AU LA...
 
ukitamani kujenga ghorofa la likakushinda hata banda jenga ujilaze
 
Blaza ukiona mwanaume poVu linamtoka ujue hajawapata kuoa bikra... Kwahiyo karoho kanamuuma anajifariji... Na mwanamke akiwa anabisha vile vile aliyemtungua bikra sio ndio aliyemuoa...
Hapa umemaliza
 
Uzur mwanamke bikra ukimpa show za kawaida tu anakuona we Mkali kinoma

Na hana ule msamiat Wa kibamia kwa kifupi hana Wa kuku compare
Ndo mana neno kibamia ni maarufu zama hizi... Kwa sababu mwanamke mpaka anakuja kuolewa... Amekutana na kila design ya wanaume... Lakini bikra... Hawezi jua kama kuna kibamia...
 
Weee alokwambia Hana wa kukucompare nae nanii??? Labda kama haangalii porn na Hana marafiki wa kumspoil... Aalafu Kibamia hakifichichiii mkuu kisaa umeoa bikra eti ndo mkeo hawezi juaa kidude ni kidogo.. no way
Tofautisha kuona kusikia na kufanya practically
 
Ndo mana neno kibamia ni maarufu zama hizi... Kwa sababu mwanamke mpaka anakuja kuolewa... Amekutana na kila design ya wanaume... Lakini bikra... Hawezi jua kama kuna kibamia...
Si ndo hapo sasa
 
Tofautisha kuona kusikia na kufanya practically
Sasa ambae kaona ndo anashawishika zaidii kufanyaa na Ana hamu zaidiii mkuuu...! Tena Kama ushamfungua njia na hujiwezi aisee hiyo ndoaa itavunjikaa tuu.


Boraa aliezoee dyudyu hataona jipyaaa. Ogopa Bikra akijanjarukaaaa ndani ya ndoa wee...
 
Kuna ukimwi mkuu utaonjaa mpaka lini?? Labda uoe mtoto wa miaka 20 hivi kwa bahati piaa hapo sawaa....

Sasa majuto yanatokea wapi ikiwa ulioa bila kushurutishwa kwa kukosa hizo bikra kwasababu wanaozitunza siku hizi wapo wachache sana.
 
Huu uzi unafika mpk page ya 30 hamna hata bikira mmoja aliyejitokeza.

Watanzania kweli tunakazana


Hahahah!! Hizi ndio mada ngumu sana. Ukitaka matusi anzisha
 


Ngoja nikaze ila ukweli ndio huo
 
Sasa majuto yanatokea wapi ikiwa ulioa bila kushurutishwa kwa kukosa hizo bikra kwasababu wanaozitunza siku hizi wapo wachache sana.
Kwa Mimi binafsi hata watu waseme ninii...BIKRA sio kigezo cha kunishawishi nimuoe mwanamke...nikimpenda hata Kama sio bikra naoaa...Siwezi kesha miaka kibao natafuta Bikra no way...! Nikibahatika kupata mwenye bikra bhasi vizurii...
 
Yaani mi wala sijali maana wanaoolewa siku hizi 95% hawana bikra. Sio kitu kinachoumiza akili maana tunaolewa bila shida yoyote.

Kwa hiyo nini hitimisho lako?
 
Sasa ambae kaona ndo anashawishika zaidii kufanyaa na Ana hamu zaidiii mkuuu...! Tena Kama ushamfungua njia na hujiwezi aisee hiyo ndoaa itavunjikaa tuu... Boraa aliezoee dyudyu hataona jipyaaa...Ogopa Bikra akijanjarukaaaa ndani ya ndoa wee...
We unataka kuniambia mtu aliyezoea dushe utamtuliza wewe kila akimkumbuka kuna Jamaa walishamuumiza aliwish kuwa nao Moja kwa Moja majamaa walirudi au wengine Wa kufanana nao lazima wakumbushie tu

We unachezea memory moment za ma ex nin?

Mzee hako ka theory ka kumtuliza mwanamke kicheche katakuja kukutokea puani uje ufungua Uzi kuomba ushaur,kunguru hafugiki
 


Sawa mkuu. Mpe salamu shem kwa kupata Neema
 
we jamaa hivi utunzaji wa bikira kwa wanawake na kutumia mda mwingi kusoma vinahusianaje? alafu unaposema wanawake wa zamani na wasasa ni tofauti kwani wao hawakuwa na sexual passion kama hawa wa leo? na naweza sema wanawake wazamani kumbe ndio walikuwa waaminifu kuliko wa sasa kutokana na maelezo yako.

Hivi kama wanawake wa sasa wako busy katika elimu sasa mda wa kutolewa bikira zao kipindi wadogo au kabla ya ndoa wanapata wapi na wazamani mbona hawakuwa busy na waliweza tunza bikira zao hivi undhani yupi yupo kwenye changamoto kutokana na maelezo yako?
 
Nakwambia alieziozea na ukamridhishaa hataonaa jipyaa...! Wanawake ni tofauti na wanaume mkuu.

Mwanamke anaweza fariki mumewe na sioleweee tenaa... Yani wao wanatabia ya kusema hakuna kipya yotee nishayajua acha nituliee...tofauti na wanaume
 
Labda nikuulize ki2,, una mtoto wa kike ambaye hajafikia kuolewa, then anakwambia "mama leo nimetoa bikra"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] reaction yako ya kwanza itabase kwenye ubaya au uzuri??? ukijibu hili swali utakuw umeelewa kwamba facts zinatokana na hisia na maono...[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…