Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mkuu fanya hivi, Oa bikra, afu hakikisha unampiga mimba zinazofuatana kutegemea na idadi ya watoto unaotaka, afu baada ya hapo hata kama akianza kuchepuka wewe unakua uko safe pamoja na kizazi chako, watu wengi wanaohofia kuoa hawa used kutokana wengi wao wanakua wamebeba DNA za wanaume tofauti tofauti kutokana na mabao waliomwagiwa ndani, hali inayopelekea kuleta athari kwa kizazi chako, Stuka mkuu hali ni mbaya huku street
 
shabu ni jiwe mithili ya bonge la chumvi. Hutumiwa na jinsia ke ili maungo yaweze kuwa tight kama yameshaanza kupwaya. Pia kama utumivu wake utakithirishwa mbususu inakuwa as tight as virgin's
Hii inaotwa shagu sio shabu nimefatilia ni balaa Sana.
 
Virgin!
Huo ni msamiati mgumu sana kwa sasa. Walau basi body count isizidi 5. Wadada wa leo kukataa mwanaume ni ngumu sana.
Inawezekana kama wanaume wote wakiamua kuoa bikra only.
 
Eeh kenge hawa sii wanatutia presha na msemo wao wa "tafuta hela " sasa na sie tunawakata kwenye suala la bikra. Ngoma drooo
Mwanaume ni Mtu wa ajabu mnoo anaweka kipaumbele cha Pesa yey akiwekewa kipaumbele cha ubikra anashangaa balaa.
 
Naimagine tuu umlie mwanaume hela yake alioitafuta kwa shida alaf akuache asikukule, atakua mwanaume wa wapi?
Alaf kuna watu bk ikishakatwa ndo vinaanza kuliwa hovyo
Kabisa ukishatoa utepe Tu vituko vinaanzia hapo.
 
Mileage muhimu kuzingatia zero kilometres ina raha yake hata kama mbeleni itaanza kukusumbua huwezi kuwa sawa na mtu aliyenunua gari 200000km

Kumbuka zero km zinanunuliwa na serikali na makampuni binafsi kama sisi mana ni gharama sana
Umeficha code sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…