Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu fanya hivi, Oa bikra, afu hakikisha unampiga mimba zinazofuatana kutegemea na idadi ya watoto unaotaka, afu baada ya hapo hata kama akianza kuchepuka wewe unakua uko safe pamoja na kizazi chako, watu wengi wanaohofia kuoa hawa used kutokana wengi wao wanakua wamebeba DNA za wanaume tofauti tofauti kutokana na mabao waliomwagiwa ndani, hali inayopelekea kuleta athari kwa kizazi chako, Stuka mkuu hali ni mbaya huku streetila mkuu kuoa bikra wakati mwingine ni pata potea tu..kwa vigezo vyako ulivyo orodhesha huko juu eti unaanza kumdundisha ww mambo ya kissing,romance na sex upo sahihi ila kumbuka ww hujui au huna utaalam wa kila kitu isitoshe huyo bikra wako ana mengi pia ya kujifunza tena wanashawika kirahisi zaidi baada kusikia au kusimuliwa kitu tofauti na ulicho nacho ww hivyo rahisi kujaribu asichopata kwako na akiotewa vizuri huko anazuzuka vibaya mno maana vitu vingi vitakuwa vipya au vigeni kwake.. tofauti na asiye bikra aliyepita sehemu tofauti anajua mengi hivyo si rahisi kuzuzuka kishamba tokana na uzoefu hapatokuwa na jipya la ajabu kiasi apoteze maboya..hivyo bikra na asiye bikra ka mmoja ana faida na hasara zake
Vijana wanasema eti hatakusahau atakupenda sana ukimuhitaji mda wowote unampataBaada ya hapo anaenda kua mwalim Kwa wanaume wengine atataka ajaribu Kwa mwingine Amin ivo
Hii inaotwa shagu sio shabu nimefatilia ni balaa Sana.shabu ni jiwe mithili ya bonge la chumvi. Hutumiwa na jinsia ke ili maungo yaweze kuwa tight kama yameshaanza kupwaya. Pia kama utumivu wake utakithirishwa mbususu inakuwa as tight as virgin's
Hatari Sana hii tanga ipo Sana na pwani.Kutokana na matumizi ya shabu msukuma akijichanganya mombassa, zanzibar, tanga na mtwara anapigwa parefu tu. akijuwa kakutana na bikra
Wasukuma man mambo.Mkuu, ilikuwa lazima utumie mfano wa Msukuma katika hoja yako? Umenikwaza sana! 😁😁😁
Hatari Sana huwa watulivu mno.Wanawake walioolewa wakiwa na usichana wao Mungu awabariki sana. Body counts sio poa
Inawezekana kama wanaume wote wakiamua kuoa bikra only.Virgin!
Huo ni msamiati mgumu sana kwa sasa. Walau basi body count isizidi 5. Wadada wa leo kukataa mwanaume ni ngumu sana.
Mwanaume ni Mtu wa ajabu mnoo anaweka kipaumbele cha Pesa yey akiwekewa kipaumbele cha ubikra anashangaa balaa.Eeh kenge hawa sii wanatutia presha na msemo wao wa "tafuta hela " sasa na sie tunawakata kwenye suala la bikra. Ngoma drooo
Ipo wazi.📌kama sio bikra,kataa ndoa!
KabsWacha wapate uchungu. Ata sie wanaume ambao hatuna hela tunapata uchungu wakituambia tafuta hela wewe mwanaume
Ipoje hii nipe somo.Hajui maskini ya Mungu,,,wakikosa shabu wanaotumia maji baridiii na karafuu ya vuguvugu..unauziwa mbuzi kwenye gunia
Uzi wa Moto Sana uwo.Huyu aliyeandika Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba? naye alikukwaza?
Sio kweli hii kivipi yaniMtu anaweza akawa bikra lakini hakuna asichokijua 😜
Huwa nashangaa Sana unaoa Mtu aliye waku kuwa na mabwana zaidi ya 10 ujinga mtupu.Hii ni tuition kabisa, wanaume tulipaswa kulipia.
Wanajua vitu vingu hawa hata kwa kusimuliwa tu, wengine wameona bado tu utekelezajiSio kweli hii kivipi yani
Ipo wazi yawz ikawa hivyo fatilia nishawai tolea ufafanuzu Hilo...kipenzMie siku zote najuaga Abby Uladu ni mwanamke 🤔🤔
Kabisa ukishatoa utepe Tu vituko vinaanzia hapo.Naimagine tuu umlie mwanaume hela yake alioitafuta kwa shida alaf akuache asikukule, atakua mwanaume wa wapi?
Alaf kuna watu bk ikishakatwa ndo vinaanza kuliwa hovyo
Umeficha code sanaaMileage muhimu kuzingatia zero kilometres ina raha yake hata kama mbeleni itaanza kukusumbua huwezi kuwa sawa na mtu aliyenunua gari 200000km
Kumbuka zero km zinanunuliwa na serikali na makampuni binafsi kama sisi mana ni gharama sana