Hujaeleza maana ya ukweli, kama ni ukweli kwa mujibu ni sawa utapolazimisha uwe mtazamo wa dunia nzima ndo tutaingia kuargue.
Kuna kisa kimoja hivi...kwa atakayenielewa atakuwa amejifunza kitu...
Siku moja kuna kipofu tangu azaliwe ndivyo alivyo kipofu... Siku moja Allah akambariki kuona kwa muda mfupi sana...alafu akamrudishia upofu wake...
Sasa katika kipindi kile amepata kuona ulimwengu ulivyo mzuri... Kiumbe pekee alichokiona mara moja ni JONGOO... akastaajabu sana... Jinsi jongoo alivyo mkubwa... NDIO KIUMBE PEKEE ALIYEMUONA...
sasa kuanzia siku ile alimhifadhi jongoo kichwani pake jinsi alivyo... Akiamini HAKUNA KIUMBE MKUBWA KATIKA WANYAMA NI MKUBWA KULIKO JONGOO...
katika pita pita zake... Alikuta sehemu watu wanabishana... NANI MKUBWA SANA KATI YA TEMBO NA TWIGA... Yule kipofu akiwa anasikiliza tu ule mjadala... mpaka wakafikia HITIMISHO kuwa TEMBO NI MKUBWA KULIKO TWIGA...
KIPOFU YULE baada ya mjadala kuisha naye akaamua kuchombeza ili kuchokoza mada upya... Akawaambia "NYIE WOTE HAMJUI JINSI JONGOO ALIVYO MKUBWA KULIKO HATA HUYO TEMBO"...
Ila kupata bikra ni......Unajidanganya bwanaa weweee, kupata bikra sio kwamba umemalizaaa muumbe mwenyewe.
Kumbe ulisema afu huna uhakika mumy
Above 20 ni ngumu mkuu afu ukitaka bikira tafuta mtoto aliyemaliza la saba afu hajaenda sekonda chini ya 20 unaweka mke ndani shida utakayopata wengi wana akili zakitoto yaani anahitaji maisha ya kifahari na ww ni mwalimu uliyeajiriwa juzi hawezi kukusaidia kupanga malengo kwenye familia na kama bado hujapata kazi basi kutoka kwenda popote uwe naye kama simu yaani mapenzi yale kitoto yatatawala,ila huku vyuoni kupata bikira na kwa tabia zilizopo mkuu ni kazi nyingine ya ziada hamna tofauti nakutafuta pesa au kaziMkuu kwa umri wako ushawahi kutana na wasichana wangapi above 20 wenye Bikra zaoo tuanziee hapoo!! Maana naona mnaongea hadithi tu hapaa
Yaani unavyoiongelea kama mimi labda sikuwahi kuwa nayo!! nakiri nilikuwa nayo now imetolewa na sijutiii kuitoa coz hata ningeiacha isingekuwa na thamani ambayo nimeipa.. Huyo ambaye ningemtunuku kwenye ndoa angeniona mshamba na kwenda kutafuta ambaye hata hakonayo hiyo bikra na hapo ndipo ninapopingana na wewe kijana wa zamani aaahaaa.Kumbe unakiri bikra ni tunu na haipatikani kirahisi,sasa wewe na wenzako mnazunguka nin?
Vipi wale ambao hawachafui mabinti(na kwa wanaume before chuo ni wengi compared na wanawake wanakua hawajaonja) afu wanaishia kwa vitu used,Mkuu mi naona ungeanzia kwenye ngazi ya familia kwa kijana wa kike na wakiume kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa kujitunza. Uwezi kuwachezea mabinti leo utake kuoa mwenye iyo kitu wakati we ni mharibifu namba moja.
"Na ukweli ndio huu wakujue Mungu wa kweli na Yesu Kristo uliyemtuma" -Yesu mnazarayo
Kumjua Mungu i mean kushika sheria zake ndio ukweli
Mkuu mi naona ungeanzia kwenye ngazi ya familia kwa kijana wa kike na wakiume kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa kujitunza. Uwezi kuwachezea mabinti leo utake kuoa mwenye iyo kitu wakati we ni mharibifu namba moja.
Tukubali .tukatae mschana mwenye bikra ni safi kwa ndoa
Kama huna hakikisha mwanao wa kike anaolewa nayo
Hakuna mwanaume ambaye hapendi bikra kwa karne hii ya 21 yenye kuweka mambo uwazi
Upate bikra aiseeeeh ntampeeenda mnooo
Inabidi ntafute hela afu nioe Katoto kadogo ka bikra ,yaan nikalee tu kanipe raha ya mwili na roho kama mswati ,mambo ya Mipango ya maisha ni jukumu languAbove 20 ni ngumu mkuu afu ukitaka bikira tafuta mtoto aliyemaliza la saba afu hajaenda sekonda chini ya 20 unaweka mke ndani shida utakayopata wengi wana akili zakitoto yaani anahitaji maisha ya kifahari na ww ni mwalimu uliyeajiriwa juzi hawezi kukusaidia kupanga malengo kwenye familia na kama bado hujapata kazi basi kutoka kwenda popote uwe naye kama simu yaani mapenzi yale kitoto yatatawala,ila huku vyuoni kupata bikira na kwa tabia zilizopo mkuu ni kazi nyingine ya ziada hamna tofauti nakutafuta pesa au kazi
Na wewe utoe maoni yakoMpambano unaendelea
Kuna namna unaweza kufundisha mtu badala ya kusikiliza unachofundisha akaacha kukusikiliza aanze kukufundisha ww na sio ulichokifundisha sio sahihi ila namna unavyofundisha na lugha uliyotumia hata unachofanya piaWengine hatujazoea elimu laini tumezoea ngumu ili mtu aelewe vizuri lazima utumie lugha hiyo mkuu
Ha haaaYaani unavyoiongelea kama mimi labda sikuwahi kuwa nayo!! nakiri nilikuwa nayo now imetolewa na sijutiii kuitoa coz hata ningeiacha isingekuwa na thamani ambayo nimeipa.. Huyo ambaye ningemtunuku kwenye ndoa angeniona mshamba na kwenda kutafuta ambaye hata hakonayo hiyo bikra na hapo ndipo ninapopingana na wewe kijana wa zamani aaahaaa.
Mkuu umefunga Mjadalaa...Kizuri hakikosi kasorooo! Oa bikra lakini akili zake zakitoto kabisaa yani...Kuna kipindi nilikuwa nimepanga geto mwana alioa demu Ana miaka 20 yule manzi isingekuwa Mimi kuheshimu ni mke wa MTU na kumuonea jamaa huruma NINGEMLAAAA...geto langu na lake yalikuwa yanaangaliana mkuu! So oa bikra lakini kichwani Maisha hajui kabisaa Ila unapata alietumika tayari Ila amayajua Maishaa...Mtoto wa miaka 19 anajua kulaa kulala tu na kufanya kazi za ndani bhasi...!Above 20 ni ngumu mkuu afu ukitaka bikira tafuta mtoto aliyemaliza la saba afu hajaenda sekonda chini ya 20 unaweka mke ndani shida utakayopata wengi wana akili zakitoto yaani anahitaji maisha ya kifahari na ww ni mwalimu uliyeajiriwa juzi hawezi kukusaidia kupanga malengo kwenye familia na kama bado hujapata kazi basi kutoka kwenda popote uwe naye kama simu yaani mapenzi yale kitoto yatatawala,ila huku vyuoni kupata bikira na kwa tabia zilizopo mkuu ni kazi nyingine ya ziada hamna tofauti nakutafuta pesa au kazi
Na wewe utoe maoni yako