Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

ni shajikatia tamaa kupata bikra naelekea uzeeni. uanzishwe utaratibu wa kununua bikra angalau na sisi tuambulie. wenzetu wazungu wanauza original anapita dactari kukagua una uziwa
Mkuu mbona zipo .au tatizo una umri mkubwa ? Sisi ambao tuko early 20's tunazipata mno hadi 2 kwa mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona zipo .au tatizo una umri mkubwa ? Sisi ambao tuko early 20's tunazipata mno hadi 2 kwa mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
mi sijawahi kutana nazo. wapi huko ambako unazipata? au sababu utu uzima unachangia. wazee wenzetu huko ulaya wakienda ulaya mashariki zipo za kununua na latini america. ni nafuu kwa walio ruka stage kama mimi
 
kuna watu wameolewa wakiwa na watoto lkn mpaka leo wanaheshimu ndoa zao, hapo utasema mwanaume ameoa laana..? jibu ni hapana. kila mwanaume anatamani aoe bikra lkn unaweza kuta huyo huyo mwanaume ametoa bikra zaid ya 10 na bado akaoa malaya.
Ukiona ndoa haina misukosuko ujue either jamaa anagongewa au ni khanithi
N.b
Naongelea ukioa single mama au mwanamke aliyetolewa bikra tayari


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mchungu huu,sasa umepata mchumba unaambiwa mahari sh.mil.2 au 3 halafu kabla hujatoa unamuuliza mshenga kuwa awaulize wazazi wa binti kuwa binti yao ni BIKRA...povu litakalokuja utafikiri limetoka sayari ya Jupiter
Mkuu mimi as long as wamenihakikishia binti yao ni bikra nitawapa hiyo m2 au m3 na baada ya kuhakikisha mwenyewe kwenye honeymoon nawaongeza m3 ya shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimembikira mama C wangu na nimeweka ndani,,nilinogewa na ile seal niliyoikuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sema wanawake wengi hawaelewi ile raha ya kusumbuana walati wa kukata kizibo kile wao wanaona ni mzigo fulani hivi eti mpaka wavunjwe ndo wanaona ni ujanja ila big up mkubwa umeotea sana kama ni kweli hapo ndoa yenu itadumu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba kukuuliza hivi una fosiwa kutanua mapaja? Au wakati unatanua ulishikiwa silaha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayeweza hayo yote mkuu ni yule ambaye alijitunza pia sasa unakuta mama alishavunjwa akiwa sekondari we unadhani ataweza kuwatunza watt wake? C anaona kawaida tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee mkuu umetoa ya moyoni . Dah nikifikiria kuoa ntatafuta bikra hata kama ni mwisho wa nchi hukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bora usalitiwe na mwanamke uliyemkuta bikira akikuambia ameteleza unaweza kuelewa na kumpa chance nyingine kuliko asiyebikira
Yap! kwanza kumsamehe ni rahisi mno bila kubaki na kinyongo kwa kuwa unajua uliyemvunja ni ww so swala la kuteleza unaweza lipotezea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…