Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Jamaa yangu umeandika ukulasa mrefu nimeshindwa kusoma pote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona zipo .au tatizo una umri mkubwa ? Sisi ambao tuko early 20's tunazipata mno hadi 2 kwa mwakani shajikatia tamaa kupata bikra naelekea uzeeni. uanzishwe utaratibu wa kununua bikra angalau na sisi tuambulie. wenzetu wazungu wanauza original anapita dactari kukagua una uziwa
mi sijawahi kutana nazo. wapi huko ambako unazipata? au sababu utu uzima unachangia. wazee wenzetu huko ulaya wakienda ulaya mashariki zipo za kununua na latini america. ni nafuu kwa walio ruka stage kama mimiMkuu mbona zipo .au tatizo una umri mkubwa ? Sisi ambao tuko early 20's tunazipata mno hadi 2 kwa mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukweli mchungu huu,sasa umepata mchumba unaambiwa mahari sh.mil.2 au 3 halafu kabla hujatoa unamuuliza mshenga kuwa awaulize wazazi wa binti kuwa binti yao ni BIKRA...povu litakalokuja utafikiri limetoka sayari ya Jupiter
Ukiona ndoa haina misukosuko ujue either jamaa anagongewa au ni khanithikuna watu wameolewa wakiwa na watoto lkn mpaka leo wanaheshimu ndoa zao, hapo utasema mwanaume ameoa laana..? jibu ni hapana. kila mwanaume anatamani aoe bikra lkn unaweza kuta huyo huyo mwanaume ametoa bikra zaid ya 10 na bado akaoa malaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha story moja ya mfalme Daudi ktk biblia. Story ilisema alilaliwa na mabikra kifuani ili apate joto wakati ni mgojwa. Yaani wafalme wa zamani walipenda sifa sana.
Unamaanisha wakina super girl na super man?Huu Uzi ni botulinum poison kwa wadada wengi. Watakao changia labda wawe wametoka krypton planet.
Mkuu mimi as long as wamenihakikishia binti yao ni bikra nitawapa hiyo m2 au m3 na baada ya kuhakikisha mwenyewe kwenye honeymoon nawaongeza m3 ya shukraniUkweli mchungu huu,sasa umepata mchumba unaambiwa mahari sh.mil.2 au 3 halafu kabla hujatoa unamuuliza mshenga kuwa awaulize wazazi wa binti kuwa binti yao ni BIKRA...povu litakalokuja utafikiri limetoka sayari ya Jupiter
Mkuu sema wanawake wengi hawaelewi ile raha ya kusumbuana walati wa kukata kizibo kile wao wanaona ni mzigo fulani hivi eti mpaka wavunjwe ndo wanaona ni ujanja ila big up mkubwa umeotea sana kama ni kweli hapo ndoa yenu itadumu tu.Nimembikira mama C wangu na nimeweka ndani,,nilinogewa na ile seal niliyoikuta
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji115] ukishaona jamii ya comment hizo basi ujue jamaa kakuta AMBONI moja ila pole mkuu.Saa nyingine bidhaa za mtumba zina ubora kuliko mpya
Sent from my SM-G610F using Tapatalk
Mwanaume bikra utamjuaje? Au utampimaje?bikira kwa wanawake ndio ina baraka,wanaume je bikra zao hazileti baraka au kudumisha mahusiano???
waliooa wanawake bikira hajawahi kuchepuka?
Mkuu naomba kukuuliza hivi una fosiwa kutanua mapaja? Au wakati unatanua ulishikiwa silaha?mmnh unaioverate bikira mkuu,wanazozitoa ni wanaume wenzio,wasingekuwepo watu wangebaki bikira LOL,wacha kutupia lawama wanawake….
sijui hizo percentage umezitoa wapi??mnhhh….
24+ kukutwa na bikira wachache mkuu
sio kweli inadumisha mahusiano,wengi wanachepuka hata baada ya kuoana mabikira
Anayeweza hayo yote mkuu ni yule ambaye alijitunza pia sasa unakuta mama alishavunjwa akiwa sekondari we unadhani ataweza kuwatunza watt wake? C anaona kawaida tu?Mkuu usidhani nipo hapa kuwalaumu au kuwatukana wanawake. Mwanamke anapaswa kuwa na msimamo na kujitunza kimwili. hii ni moja ya sifa ya mwanamke. Mwanamke hujaribiwa na wanaume kupima msimamo wake na namna alivyo na tabia njema. ndio maana bikra ikawekwa kwake. Endapo hataitunza tafsiri yake si muaminifu.
Si watetei wanaume bali kila mmoja atahukumiwa kwa namna yake na sheria zinazomhusu.
Ushauri: kama wewe ni mama Bora, mwanamke mwema hakikisha unawatunza wanao na kuwakagua kila mara huku ukiwafundisha neno la Mungu uone kama kuna mwanaume atagusa papuchi za wanao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee mkuu umetoa ya moyoni . Dah nikifikiria kuoa ntatafuta bikra hata kama ni mwisho wa nchi hukooSamahani mleta mada wewe ni peter wa muna maana issue za kugombania watoto ziko nyingi ila wewe umekomaa na hii ya patrick-muna-peter? Mbali na hilo hii mada yako ni nzuri na ina ujumbe mzuri unaofikirisha. Kuna mda hata mimi ujikuta namchukia mwanamke wangu ninapokumbuka nilivo mkuta hana bikra. Na imani yangu ni hiyo hiyo uliyoielezea ya kuwa wanaume wote tuliochukua wanawake wasio na bikra tunaishi na wake za waume wenzetu.
Ndoa ni agano inafungwa pale tu mtu mme anapolala na mtu mke aliye na bikra. Wengine mahusiano yetu yako kijamii zaidi ili mradi tulienda makanisani/misikitini/bomani haimanishi kuwa tumefunga ndoa kiimani. Huko tunaenda tu ili kupata uhalali wa kuishi kwenye jamii pasipo kusumbuliwa ila kwa Mungu mwanaume halali wa ndoa ni yule aliyetoa bikra ya mwanamke husika - hao ndio wanafunga lile agano halisi la ndoa. Mengine tunayofanya ya kupelekana makanisani nk ni utaratibu tu wa hapa duniani ili jamii iweze kuwa tulivu kidogo.
Yap! kwanza kumsamehe ni rahisi mno bila kubaki na kinyongo kwa kuwa unajua uliyemvunja ni ww so swala la kuteleza unaweza lipotezea tu.Ni bora usalitiwe na mwanamke uliyemkuta bikira akikuambia ameteleza unaweza kuelewa na kumpa chance nyingine kuliko asiyebikira