Dada gar mpya waziwahi tumbo ni hii mara ya 2 naona mada hiiUkitaka gari likusumbue nunua gari used. Mpya ni mpya tuu.
Pesa ya kununua gari jipya mnayo au ilimradi kutoa maneno ya shombo? Magari mnayoagiza japan yote used.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi bwana hata uoe bikra nyie ni vitom**i by nature bado utamsaliti na yeye akichakatwa nje na wenye show za kibabe shughuli yako imeisha
Tusidanganyane bwana
Heshima, uvumilivu sijui uskivu ni tabia ya mtu
Jokajeusi kuna hoja za msingi sana hapa unahitaji kutoa maelezo
[emoji23][emoji23]mzee mbna unajikataa ww si umesema atakuheshimu sjui usikivu na blah blah kisa umemkuta bikra?! Inakuaje useme mwanamke haqez kua na tabia njema?!Sasa heshima ipi aliyo nayo mwanamke aliyeolewa kama hana bikra?
Uvumilivu upi huo alionao mwanamke kama alishindwa kuvumilia nyege zake mpaka bikra ikatolewa?
Usikivu upi alionao mwanamke ikiwa hakusikiliza maonyo ya Wazazi wake kuwa ajitunze mpaka siku ya ndoa?
Mwanamke hawezi kuwa na tabia njema hata kidogo. Hivyo ndivyo ilivyo
Goddess umeridhika na majibu haya??any objection plz???swal la nyongeza kama lipo??Bikra sio kitu cha ajabu. Kitu cha ajabu ni kumuoa mwanamke asiye na bikra.
Mkuu hivi mwanamke atakuwaje na heshima kama hakuolewa bikra?
Exceptional waliofiwa na waume zao, waliobakwa ambao kesi zilishaenda mahakamani,
Hivi ni ishara gani itakuonyesha mwanamke anaheshima na mwaminifu kama sio bikra?
Atalalamikaje mwanamke wakati bikra hasa inamuhusu mwanaume,umesoma mpaka mwisho ukaelewa kweli mzee?
Hakuna jibu hapa tantalila boss hajanishawishi sijui aongee nn na nilivyo mbishi mpaka unishawishi umefanya kazi kweliGoddess umeridhika na majibu haya??any objection plz???swal la nyongeza kama lipo??
Labda kwakua mchele wa kuuzwa dukan unakua unashikwa shikwa sana na wateja halaf unageuzwa geuzwa sana wanapotaka kununua wakat wa kukuboa mwenyewe mwenye mali ndio unakua unashika kwa mara ya kwanza ..Kwani anaenunua mchele, na anaenunua mpunga akaenda koboa kutoa mchele wenyewe wanatofauti gani
Wote si wanakula wali?!
100% atakuwa alimkuta bikra,kama ana akili ya kuchanganua mambo kwa kiasi hiki basi alitokana na mwanamke msafi kwenye ndoa safi kama angetokana na aliyeolewa akiwa kopo asingekuwa na spirit hii.Baba yako alimkuta mama yako bikra au unapiga kelele hapa
Kujithamini ndo kua bikra?!Unaongea mambo ya msingi sana!!
Mwanamke kujitambua kwa thamani na maana ya thamani yenyewe ni mujimu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jibu hapa tantalila boss hajanishawishi sijui aongee nn na nilivyo mbishi mpaka unishawishi umefanya kazi kweli
Ningekua sina kazzi ningejitolea kumchallenge mpaka nipate jibu
Maana nmeona kajisifu pale juu kwamba yeye hua mshindi siku zote
Dah...hivi kwani hakuna single mother bikra? Nauliza tu....kuuliza si ujinga [emoji56]Hapo kwenye gari mpya na used nimekuelewa vizuri sana. Ila sisi tulioa single mother inakuaje!!!
Sent using Jamii Forums mobile app