Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Lakini mama yake alikutwa bikra,tusi-justify ufanyaji ngono hovyo kwakutafuta makosa yakulazimisha.Kufanyafanya mapenzi hovyo kumefanya watu wakinai uke mapema nakuanza kutafuta ladha sehemu nyingine ambazo hatukuzitegemea kua zitakua zinatumika kikawaida kama ilivyo sasa.
ukute hata anayedhani ni baba yake mzazi kumbe siye yeye [emoji16][emoji16]
 
We endelea kuhangaika. Mimi naendelea kupewa dudu limenona hasa. Hayo ya mbwa mimi hayanihusu. Mungu alinipa papuchi ichakatwe sio sabuni hii utasema ikitumika itaisha. Dudu oyeeeeee! [emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mnooo dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama umechakatwa sana tena sana,utathaminikaje sawa na aliyejitunza?
Mzee ww utajuaje mtu kachakatwa sana wakati humjui labda na ndio kwanza umemuona?!

Anza kubishana ss mwenye uzi mwenyewe haonekani
 
Mzee ww utajuaje mtu kachakatwa sana wakati humjui labda na ndio kwanza umemuona?!

Anza kubishana ss mwenye uzi mwenyewe haonekani
Bado malumbano ya hoja yanendelea? Fikieni muafaka basi.
 
Mzee ww utajuaje mtu kachakatwa sana wakati humjui labda na ndio kwanza umemuona?!

Anza kubishana ss mwenye uzi mwenyewe haonekani
Naona umekomaa nao tu mpaka leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna rafiki yangu mmoja mkewe ni kiburi na mjeuri haswaaa hamtii wala kumheshimu mume wake, mama mkwe wake anamchukulia kama mdogo wake...... Sasa mshkaji akawa analalamika "ooh wife mjeuri, kiburi ana dharau sijui nini mie nilijua atakuwa sio mtu wa hivyo sababu nimemkuta bikra" nilimuuliza uhusiano wa bikra na mtu kutokuwa mjeuri upo wapi? Akatulia kimya kwanza then akaendelea kulalama.... Nikamwambia boss huyo ni chaguo lako we pambana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ingekuwa kila mwanaume anaemtoa bikra mwanamke huyo anamuoa, hapa leo kusingekuwa na lawama,,,.... Hili zigo la miba lirudi kwao wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
the say,
Mwanamke ambaye siyo silidi,ukimuoa unatakiwa usiwe na wivu maana hujui katembea na wangapi,wana sifa gani.... ambazo yamkini huwezi kuwazidi wote,mwache apigwe tu maana alishaanza.
 
Zesh, [emoji23][emoji23] mwenye uzi kaingia mitini wamebaki wafuasi na wao wataka ligi sijui

Mwambie jamaaa apambane na ujinga wake ipo siku atakuta mama yake kachezea kipigo[emoji23]
 
Mzee ww utajuaje mtu kachakatwa sana wakati humjui labda na ndio kwanza umemuona?!

Anza kubishana ss mwenye uzi mwenyewe haonekani
Kitendo tu chakutolewa bikra,tunaamini umechakatwa.Kitendo chakukutwa na bikra,inadhihirisha haujachakatwa,hivyo heshima itakua juu ya aliyekutwa nayo,yule asiyekuanayo hatathaminiwa kivile.
 
Kitendo tu chakutolewa bikra,tunaamini umechakatwa.Kitendo chakukutwa na bikra,inadhihirisha haujachakatwa,hivyo heshima itakua juu ya aliyekutwa nayo,yule asiyekuanayo hatathaminiwa kivile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingawaje nimechelewa kuusoma, kwa uzi huu ulivyo hakuna yeyote mwenye kuupinga akashinda hata kama atakuwa fundi wa lugha kiasi gani. Ukweli huu haugeuziki. Kwa wenye hekima watausoma tu na kukaa kimya. Hawawezi ku- attempt kuujibu.
Wahenga husema "ndege ametua kwenye upinde"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…