Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mkuu joka jeusi..kweli bikra Ni jambo jema..

Wewe kupata mke bikra haimaanishi wengine wamepata wasio wema..wachafu na hawafai... Wanaweza wakawa wema Sana kwa Hawa waume zao kuliko huyo mkeo.

Hiyo Ni Neema kwako umepewa na Muumba..wapo ambao hawakupata Kama Wewe lakini wakapata Neema na kudra nyingine KUTOKA kwa Allah.

Kuhusu watoto Hebu Lea kwanza wakwako wakue alafu ndo useme neno..mtoto kuwa mwema sidhani sababu pekee Ni kupita kwa tundu Safi.. watoto wa mitume wataka kuuwa ndugu zao.

Mtoto wa nuhu alikataa ukweli naakafanya maaswi hapa hawakuzungumziwa wakike.

Usidhani kwa Akili yako unaweza fanya KILA kitu kikaenda vizuri just because...umeoa bikra... Hiyo Sio guarantee ya kuwa na watoto Bora...au Kwamba mke wako atakuwa mbora zaidi kuliko wanawake wengine kitabia.
 
Sio azini ajifuraishe maisha Kama haja enjoy before marriage unafikiri huko ndio ata enjoy life
Mkuu..nipe huyo mtoto nikuleleee..naweza nisimpende zaidi yako..ila anaweza akanusurika na Mengi.

Sijui unashida gani na ndoa..mpaka unaamini Uzinifu Ni Bora kuliko ndoa.
.
 
Unataka kuoa bikra wakati wewe mwenyewe sio bikra. Huo ni ujinga wa kiwango cha chato.
 
Hahaaaa😂
 
Mkuu hujatuelekeza hii mitumba yetu tukaitupe wapi sasa 🙂🙂🙂, ila kiukweli wanaume wote tulikuwa na ndoto za kuoa mabikra hawa ila tukakosa na inatuumiza kuoa used mkuu.
hahaaaa nimeCheka sana 😂 😂 😂 😂 😂 kmmk
 
mtoa mada mbona ameshasema kuwa 10% ya walioa bikra ndio wanapitia cjangamoto ktk ndoa yao.. So huyo jamaa yako mtoa mada ameshamuweka ktk 10% but majority wanafaidi 😂 😂 according mtoa mada
 
endelea kujidanga bt kwa mbali bandiko lako linanukia kaharufu kakujifariji na stress za maisha, mimi nimeoa mke bikra bt siwezi jisifia ujinga coz nawajua wanawake wa zama hizi
Well said 100%
 
Mimi nashauri kama unataka kuoa demu bikra basi umba dunia yako alfu uoe uyo bikra wako, kila kukicha mnaleta nyuzi za kuwatia mademu wa wawatu unategemea hizo bikra zinatoka wapi mara kula tunda kimasiara rikiboy [emoji23][emoji23][emoji23]kwa staili hii kuna demu bikra
 
Hizi mada za bikra zinavutia wengi, ila nilichojifunza na kina ukweli mkubwa ni kwamba wanaume wengi ambao katika maisha yao ya uzinzi yaani kabla hawajaoa walikua hawajakutana na msichana bikra, wanapenda sana na wanatamani waoe msichana bikra, vichwani mwao wanaamini hao waliowapitia na hawakuwata bikra basi ni malaya.

Kwa wale wanaume ambao katika maisha yao walikutana na wasichana bikra ,mara nyingi wakija kuoa, bikra sio kipao mbele kwao, wanazingatia zaidi upendo na malengo ya kimaisha kwa huyo anaetaka kumuoa.
 
Alikuea mbali, nimekula kabla ya ndoa.

Nimemuoa, kugegedwa sijui lakini nimeshaeleza 10% ndio huwa sio waaminifu

Ila hawa makurumbembe 90% ni malaya. Shuhudia mitazamo yao humu
Kumbe we pia ni Malaya na mzinifu lakini bado una laumu wengine. Bro wewe ni fisi maji. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hana lolote huyo,hakuna analolijua katika ulimwengu wa ndoa na mahusiano.
mtoa mada mbona ameshasema kuwa 10% ya walioa bikra ndio wanapitia cjangamoto ktk ndoa yao.. So huyo jamaa yako mtoa mada ameshamuweka ktk 10% but majority wanafaidi [emoji23] [emoji23] according mtoa mada
 
iko hivi, bikra ni agano la damu.
kuoa msichana bikra, anakuwa ameweka alama moyoni mwa mwanaume. na atapendwa sana kwa hilo.
hii ya kuoa mbaye tayari katumika hatu kuolewa kwa sherehe kubwa hakutakiwi. kwani tayari alikwisha fanya gano na mtu mwingine na ndio maana akikutana na aliye mtoa bikra, atatoa tena!
mahusiano ya sasa ni bahati na sibu kwa sbb, ya kuvunjika kwa hili agano.
 
Kuna watu naona wanahoji kuhusu kama aliyeleta mada an yy alikuwa bikra au la?? Kwa mwanaume ubikra hauna maana yoyote na pia kwa experiece yangu wanawake hawaipi upaumbele bikra kwa mwanaume kama sisi tunavyoipa kipaumbele kwa wnawake!!! Af cha msingi wanaume tunajua kutofautisha sex na hisia na hyo ndo tofauti yetu na wanawake,, mwanaume hata akicheat na ex wake na ana mke hawez kumsahau mke wake au kuondoa feelings kabisa ila mwanamke akianza kukucheat na ex wake au mtu yyte feelings zinahamia huko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…