love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,162
Yawezekana ulichokiongea ni sahihi. Japo lugha uliyotumia du!
Mimi ni mwanamke, lakini sidhani kama ni jambo jema kwa mwanaume aliyeoa lady asiye na bikira kumwita "mjinga". Si kosa lake. Na tambua pia kuna wanaume hawapendi hizo bikira. Pia, kinachounganisha watu ni upendo na si bikira.
Jingine, utajua vipi kama huyu binti Ana bikira au hana? Maana hatutembei na nembo siye.
Hayo yote ni majaliwa