Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Yawezekana ulichokiongea ni sahihi. Japo lugha uliyotumia du!

Mimi ni mwanamke, lakini sidhani kama ni jambo jema kwa mwanaume aliyeoa lady asiye na bikira kumwita "mjinga". Si kosa lake. Na tambua pia kuna wanaume hawapendi hizo bikira. Pia, kinachounganisha watu ni upendo na si bikira.

Jingine, utajua vipi kama huyu binti Ana bikira au hana? Maana hatutembei na nembo siye.
Hayo yote ni majaliwa
 
Siyo kweli, kuna aina ya watu hawawezi ku bond, na wanazaliwa hivyo ni bailojia yao, wapo hata ukienda vijijini kuna baadhi ya Wazee utakuta wanaishi wenyewe kabisa bila ya mtu na wameishi hivyo maisha yao yote, ni aina tu watu, hatuwezi kulingana.

Waache wanaoweza ku-bond na kuoa waoe, wasioweza pia waache wawe wanavyotaka kuwa!

Sawa ila ukweli ndio huo
 
Mkuu ni kweli kabisa umeongea point, ila tegemea michango michache maana humu wengi ukweli kwao ni mchongo kama shubiri...Heshima kwa Mwanamke Ndoa...Rukaruka wee n.k bila ndoa wewe si lolote

Itabidi kuwafariji tuu.
 
Yawezekana ulichokiongea ni sahihi. Japo lugha uliyotumia du!
Mimi ni mwanamke, lakini sidhani kama ni jambo jema kwa mwanaume aliyeoa lady asiye na bikira kumwita "mjinga". Si kosa lake. Na tambua pia kuna wanaume hawapendi hizo bikira. Pia, kinachounganisha watu ni upendo na si bikira.
Jingine, utajua vipi kama huyu binti Ana bikira au hana? Maana hatutembei na nembo siye.
Hayo yote ni majaliwa

Mkuu amin usiamini hakuna mwanaume asiyependa bikra. Hata viumbe wa kiroho wanajua thamani ya bikra sembuse sisi viumbe wenye nyama.

Kweli nimetumia lugha kali lakini ndio namna yangu ya kuwasilisha mada. Kuitambua Bikra mbona rahisi sana au hili nalo liandikiwa matangazo ya kuwa tunafundisha kujua bikra. Bikra ni alama aliyopewa mwanamke sehemu za maungo yake ya uzazi kuashiria ya kuwa hakutoka na mwanaume yeyote.

Ni kweli upendo ni jambo la muhimu tena sana.
 
Mke mwema na mume mwema ni yule anayemcha Mungu. Ni vizuri ukibaatika kuoa bikira lakini si jibu katika ndoa za siku hizi, Mwanamke aliye na hofu ya Mungu hata kama kwa bahati mbaya hakuwa bikira lakini ni heri kuoa huyo.

Pia kwa wale wanaume wanaotafuta watoto wa watu kuwatoa bikira zao ninawaakikishieni na binti zenu watatolewa bikira hadharani. Ni vizuri ukimtoa binti bikira hakikisha unamooa na si kumtupa huko akaenda kuitwa used na mwanamme mwingine.
 
Mtu mwenye hela zake kama majizo, HB na anaheshimika katika jamii anajiandaa kumuoa lulu ambae Tz nzima inamjua kwa namna alivokuwa siku za nyuma. Mwanaume hajamjudge, amemkubali alivyo, zaidi sana anambadilisha awe mke mwema kwake.

Tabu ipo kwa makapuku, mia mbili mfukoni hawana, uHB hawana, usafi "F", hawafahamiki popote, maisha yao kuunga unga tu, ila kutwa kuongea nonsense juu ya wanawake as if they are all that! Mtu hana chochote zaidi ya pu*** na simu ya tekno lakini anataka mwanamke mzuri, bikra, anakazi, etc Ulofa tu Povu ruksa.........
 
Yaan nimecheka adi kujikojolea jaman khaa nimemtafakari mtoa mada ana fikra za kizamani afu ata ukute mama ake mwenyewe aliolewa akiwa na mtoto wa nje ambaye ndo mtoa mada
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kazi na ndoa. Kuna tofauti kubwa kati ya karama/kipaji na ndoa. Ndoa ni zaidi ya vyote hivyo. Ni moja ya kanuni za uumbaji. Wewe unazungumzia kazi na vipaji. Ndoa ilikuwepo kabla ya kazi, vipaji, pesa, n.k. Usiichukulie Poa. Ndoa ni pepo ndogo na hapo hapo ni Jehanam ndogo. Ndoa ni zaid ya uijuavyo. Ndio maana Shetani anawekeza huko kuliko sehemu yoyote ile.
Hakuna cha shetani apo mambo mengi tunayafanya kwa tamaa zetu wenyewe
 
Yaan nimecheka adi kujikojolea jaman khaa nimemtafakari mtoa mada ana fikra za kizamani afu ata ukute mama ake mwenyewe aliolewa akiwa na mtoto wa nje ambaye ndo mtoa mada

Tulee watoto wote wa kiume kwa usahihi waje wawe gentlemen.

Mwanaume mstaarabu huwatreat wanawake vizuri bila kukashifu na ujinga mwingine, btw kuwa mwanamke ni kazi mno, tena itokee bahati nzuri umezaliwa mzuri, utapambana kuruka viunzi vya wanaume wanaokutaka wastani wa 100 kwa mwaka ila mwisho wa siku kuna sehemu utanasa tu, sasa iweje mtu akashifiwe kwa kutokuwa bikra as if bikra ni dhahabu, na hata ukiitunza ipo siku utaitoa tu, whats the point!?

kiukweli kabisa kuna wanaume wastaarabu mno ambao haiwahitaji kukashifu wanawake ili wajione wao ni bora, kama bikra kwako ni muhimu kwanini usiwe busy kutafuta bikra instead of kukashifu wengine ambao walitoa bikra zao kwa starehe zao wenyewe, kukosa akili tu.
 
Tulee watoto wote wa kiume kwa usahihi waje wawe gentlemen, Mwanaume mstaarabu huwatreat wanawake vizuri bila kukashifu na ujinga mwingine, btw kuwa mwanamke ni kazi mno, tena itokee bahati nzuri umezaliwa mzuri, utapambana kuruka viunzi vya wanaume wanaokutaka wastani wa 100 kwa mwaka ila mwisho wa siku kuna sehemu utanasa tu, sasa iweje mtu akashifiwe kwa kutokuwa bikra as if bikra ni dhahabu, na hata ukiitunza ipo siku utaitoa tu, whats the point!? kiukweli kabisa kuna wanaume wastaarabu mno ambao haiwahitaji kukashifu wanawake ili wajione wao ni bora, kama bikra kwako ni muhimu kwanini usiwe busy kutafuta bikra instead of kukashifu wengine ambao walitoa bikra zao kwa starehe zao wenyewe, kukosa akili tu.
Na suala la kutunza bikra au kuitumia ni uamuzi tu km kuolewa watu wanaolewa mnoo bila kuchagua
 
Back
Top Bottom